Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
- #481
Wewe ndie itasubiri sana kupata huyo mwanaume wako imaginary ambaye sidhani kama anaweza kuexist popote pale.Watasubiri sana, hakuna mwanamke wa kumfanya mtumwa miaka hii.
Sampuli ya mwanaume utayeweza kuishi nae wewe ndio wale wale ambao huwa mnawaita wanaume suruali au wanaume wa ajabu ambao mliwakimbia huko nyuma. Utawakuta huko mbeleni.
Dharau zenu zinawaponza.
Sasa jidanganye kuwa una subiriwa. [emoji23][emoji23][emoji23]