Utii wa wanawake wa kisasa

Aisee,
Kwa hiyo ili mwanaume apate utii atafute mwanamke tegemezi kiuchumi
Ana mentality za kimasikini na kidangaji sana. Sasa nashindwa kumuelewa kuwa anachosimamia yeye kuwa mahusiano ni kitu gani?

Yaani anakomalia na transactional based relationship.
 
Hayo ndio maadili na tamaduni za kiafrika mnazozililia kila siku kwamba zirudi kwahiyo chagueni moja
Then you have yet to learn the meaning behind "wife submission" in African culture and traditional perspective.
 
Yeye anachodhania ni kuwa wanaume wanatafuta nidhamu ya uoga kwa mwanamke wao. Kila akielezwa yeye anapindisha maudhui. Anakera.
 
Ukimuona tofauti na unavyotaka ujue umekosea kuchagua au hujamkaza na kumuongoza vizuri huyo.

Ukichagua vizuri ukamkaza vizuri, ukamuongoza vizuri atakutii hata usipotaka akutii.
Sometimes shida sio mwanaume kushindwa kumhandle mwanamke, bali shida inakuwa ni mwanamke asiye na maadili na ambaye hajafundwa vizuri.
 
Mkuu naona umemmention Jadda

Kila la kheri kwenye mjadala wenu mtakesha
Hana jeuri ya kunishinda hoja. Mimi jiwe yeye kisu, aje sasa tunoane tuone kipi kitaanza kuisha. Si unaonaga vile visu vya buchani, vinanolewa hadi vinakuwa vyembamba kama spoku.
 
Akili ya mwanamke ina rubuniwa au kupelekeshwa na vitu vingi sana especially mtandaoni.

Unaweza mpa matunzo yote ila akalalamika kukosa uhuru wa kuishi kama akila Hamisa mobeto.

Kimsingi hiyo unayoita shurti actually ni wanawake kukosa utimamu wa kujua impact ya matendo yao siku za baadae hadi kuamua kurisk tu.

Kimsingi Wanaume tunazungumzia standards kwa mujibu wa uhalisia wakati ninyi wanawake mnazungumzia standards kulingana na namna hisia zenu kwa wakati au nyakati fulani zinavutiwa au kupelekeshwa na kitu gani.
 
Na ndio maana wengi wao huwa wanaishia kumegwa na kuachiwa mimba isiyo na baba na kutemwa.
 
Na ndicho nilichomwambia kwenye uzi juu kule.
 
Aisee..dudu niliyoipata asubuhi hii ni ya viwango vingine kabisa...sent from heaven.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijana anajua balaa lako huyo, mtoto mdogo anataka mechi na maveterani, hivi si ataomba maji na kupungua kilo kwa mikiki utayomuelekeza kufanya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upendo ni tofauti na utii mkuu, mwanamke anaweza akakupenda kama haumpi pesa, ila kukutii ndio inaweza ikawa kipengele kidogo
Wewe unatafsiri vipi neno kutii maana unaonekana unayo tafasiri yako pekee yako.
 
So mfano traffic anapokusimamisha na unatii unasimama, yule traffic anakuhudumia wewe?
 
Wanawake hawawezi kuwa uniform sababu hata namna wanavyoprocess taarifa na idea hawapo uniform bali wanakuwa emotional.

Sasa how do u expect viumbe wa hivi wawe na maamuzi independently? [emoji848]
 
Si kweli kwani wote wanaowatii maboss wao ni kwamba wanawapenda, inawezekana kabisa kuwepo na utii pasipo upendo na pia upendo pasipo utii, mfano mzazi anampenda mtoto wake lakini hawezi kumtii
Kwan mwisho wa siku huwa inakuwaje, unashangaa tu kitoto kinafanana na bosi wa mkeo. Na hampendi bosi wake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu anamwambia the same comment na yeye bado anajaribu kujiaminisha kuwa si mbishi bali anawashinda hoja wanaume. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ona akili zako zilivyo fupi. So una amini sababu za mwanamke kutawaliwa na mwanaume ni za kiuchumi, umeshafuatilia wanawake ambao wamejitafutia mafanikio wenyewe , kwann huwa wanahangaika na mapenzi tena?

Jennifer Lopez kwa mfano, ana ndoa ngapi hadi sasa na bado anatafuta mwanaume mpya kila akiachwa so how is it safe kwako kusema wanawake wanatafuta mwanaume kwasababu za kiuchumi are even aware of what happens ndani ya mahusiano?

Wewe bado unaongea kama kinda. Just ngoja life ifastfoward, tutaongea lugha moja. Sio mbali ni Christmas chache tu zimebakia.
 
She's very much likes to assume the idea that a woman is a victim of some form of abuse ambayo hata yeye hajui ipoje. She's very delusional.
 
Actually its you not calling a spade a spade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…