Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
- #501
Ana mentality za kimasikini na kidangaji sana. Sasa nashindwa kumuelewa kuwa anachosimamia yeye kuwa mahusiano ni kitu gani?Aisee,
Kwa hiyo ili mwanaume apate utii atafute mwanamke tegemezi kiuchumi
Yaani anakomalia na transactional based relationship.