Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Aisee,
Kwa hiyo ili mwanaume apate utii atafute mwanamke tegemezi kiuchumi
Ana mentality za kimasikini na kidangaji sana. Sasa nashindwa kumuelewa kuwa anachosimamia yeye kuwa mahusiano ni kitu gani?

Yaani anakomalia na transactional based relationship.
 
Hayo ndio maadili na tamaduni za kiafrika mnazozililia kila siku kwamba zirudi kwahiyo chagueni moja
Then you have yet to learn the meaning behind "wife submission" in African culture and traditional perspective.
 
It's the mentality behind, wanawake wengi ambao wamepata knowledge au wana privileged ya kuwa kwenye position flan ndo mentality zao! Hivi utii ni nini? Na kumtii mtu si lazma kuwe na gape kati yenu. Huwezi mwambia mtu mzima amtii kijana mdogo labda awe na wadhifa. Haya mimi sijabase kwenye dhana mbaya ya kutii, ila ile heshima ya kuona huyu ni mwanaume na mm ni mwanamke, sjui umenipata? Wanawake wengi wamepoteza ile quality sababu wanashindwa kutofautisha vitu natural kabisa mwanamke anapaswa kumtii mumewe sio kwa shuruti ila ndivyo ilivyo.
Yeye anachodhania ni kuwa wanaume wanatafuta nidhamu ya uoga kwa mwanamke wao. Kila akielezwa yeye anapindisha maudhui. Anakera.
 
Ukimuona tofauti na unavyotaka ujue umekosea kuchagua au hujamkaza na kumuongoza vizuri huyo.

Ukichagua vizuri ukamkaza vizuri, ukamuongoza vizuri atakutii hata usipotaka akutii.
Sometimes shida sio mwanaume kushindwa kumhandle mwanamke, bali shida inakuwa ni mwanamke asiye na maadili na ambaye hajafundwa vizuri.
 
Mkuu naona umemmention Jadda

Kila la kheri kwenye mjadala wenu mtakesha
Hana jeuri ya kunishinda hoja. Mimi jiwe yeye kisu, aje sasa tunoane tuone kipi kitaanza kuisha. Si unaonaga vile visu vya buchani, vinanolewa hadi vinakuwa vyembamba kama spoku.
 
Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yani
Akili ya mwanamke ina rubuniwa au kupelekeshwa na vitu vingi sana especially mtandaoni.

Unaweza mpa matunzo yote ila akalalamika kukosa uhuru wa kuishi kama akila Hamisa mobeto.

Kimsingi hiyo unayoita shurti actually ni wanawake kukosa utimamu wa kujua impact ya matendo yao siku za baadae hadi kuamua kurisk tu.

Kimsingi Wanaume tunazungumzia standards kwa mujibu wa uhalisia wakati ninyi wanawake mnazungumzia standards kulingana na namna hisia zenu kwa wakati au nyakati fulani zinavutiwa au kupelekeshwa na kitu gani.
 
Haujajibu chochote ulikua unaluka luka tu unahisi swali lina mtego hata ivyo ulichojibu ni mwanaume fala ndio anaweza kukubali, yaani mnaishi sehemu tofauti(umepanga au upo kwa wazazi wako) au mnaishi pamoja halafu una ajira bado unataka mwanaume akuhudumie. kama unaishi kwenu wajibu wa baba ako ni upi?, kama hauna ajira na umepanga kwanini uliondoka kwenu?, kama una ajira na unataka kuhudumiwa kipato chako unapeleka wapi? Ni mwanaume fala ndio atakubali hayo matakwa yako labda tu kama lengo lake liwe kukutomba na kukuacha ndio atatoa hela kama chambo akishamaliza haja zake anaingia mitini ila kwa mentality yako kuwa na mahusiano ya maana sahau.
Na ndio maana wengi wao huwa wanaishia kumegwa na kuachiwa mimba isiyo na baba na kutemwa.
 
Ukikuwa utaacha kuhoji. It's all about the laws of nature. Kuna vitu vipo hivyo tu kingine mwanamke kaumbwa hivyo kukubali kutawaliwa not in a bad way ila ni moja wapo ya feminine quality. Ukiona mwanamke anataka ku act kama mwanaume there's some imbalances.
Na ndicho nilichomwambia kwenye uzi juu kule.
 
Aisee..dudu niliyoipata asubuhi hii ni ya viwango vingine kabisa...sent from heaven.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijana anajua balaa lako huyo, mtoto mdogo anataka mechi na maveterani, hivi si ataomba maji na kupungua kilo kwa mikiki utayomuelekeza kufanya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upendo ni tofauti na utii mkuu, mwanamke anaweza akakupenda kama haumpi pesa, ila kukutii ndio inaweza ikawa kipengele kidogo
Wewe unatafsiri vipi neno kutii maana unaonekana unayo tafasiri yako pekee yako.
 
Hakuna cha kurukaruka hapo wewe unalazimisha mtu ajibu kile unachotaka kukisikia tu hata kama ni uongo, sasa kama unajua kwamba kila mtu anaishi kivyake na kujiwajibikia mwenyewe kwanini unataka mwanamke akutii, ni mwanamke desperate na mwenye low self esteem tu ndiye atakayekubali kumtii mwanaume asiyemuhudumia
So mfano traffic anapokusimamisha na unatii unasimama, yule traffic anakuhudumia wewe?
 
Ni ninyi ndio mnaolazimisha kwamba wanawake wanapenda kutawaliwa yani siku hizi mmegeuka wasemaji wao, kama kutawaliwa ingekuwa nature basi wanawake wote duniani wangekuwa na uniform mentality wala msingehitaji kutumia nguvu kubwa kuwalazimisha hilo, ila the fact kwamba wanawake wamekuwa rebellious inadhihirisha kwamba hiyo siyo nature bali ni some sort of planted mentality labda kama hujui maana ya nature
Wanawake hawawezi kuwa uniform sababu hata namna wanavyoprocess taarifa na idea hawapo uniform bali wanakuwa emotional.

Sasa how do u expect viumbe wa hivi wawe na maamuzi independently? [emoji848]
 
Si kweli kwani wote wanaowatii maboss wao ni kwamba wanawapenda, inawezekana kabisa kuwepo na utii pasipo upendo na pia upendo pasipo utii, mfano mzazi anampenda mtoto wake lakini hawezi kumtii
Kwan mwisho wa siku huwa inakuwaje, unashangaa tu kitoto kinafanana na bosi wa mkeo. Na hampendi bosi wake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbishi Sana wewe! Katika ukuaji wako mpk kufikia hapo let's take an example nyumbani nani uliyekuwa una mheshimu zaidi? Nani alikuwa yupo juu kwenye kutoa say hasa kwenye maamuzi magumu ya familia, nani aliyekuwa Kimbilio la kwanza mpatapo shida fulani? Usilete visingizio twende kwenye uhalisia wa mambo mwanaume atabaki kuwa kiongozi, protector na Provider. Mwanamke hata physiology yake tu haimfavor kuwa leader unless she's got money and power which kwa mapana haimfanyi kuwa leader ni vile tu nguvu ya pesa na nyadhifa ndo vina mpa kichwa. Tatizo wanawake(wasichana) wabishi sana sikuhizi ndo maana wanaishiwa kutumika tu.
Kila mtu anamwambia the same comment na yeye bado anajaribu kujiaminisha kuwa si mbishi bali anawashinda hoja wanaume. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe bila shaka hujaelewa kabisa hoja yangu nawe ndio wale wale tu wazee wa kukurupuka, mwanaume kumtawala mwanamke siyo nature bali ni kwa sababu za kiuchumi tu na si vinginevyo, kama mwanaume anamhudumia mwanamke ana mamlaka juu yake ila kama hamhudumii hana hayo mamlaka na huo ndio uhalisia
Ona akili zako zilivyo fupi. So una amini sababu za mwanamke kutawaliwa na mwanaume ni za kiuchumi, umeshafuatilia wanawake ambao wamejitafutia mafanikio wenyewe , kwann huwa wanahangaika na mapenzi tena?

Jennifer Lopez kwa mfano, ana ndoa ngapi hadi sasa na bado anatafuta mwanaume mpya kila akiachwa so how is it safe kwako kusema wanawake wanatafuta mwanaume kwasababu za kiuchumi are even aware of what happens ndani ya mahusiano?

Wewe bado unaongea kama kinda. Just ngoja life ifastfoward, tutaongea lugha moja. Sio mbali ni Christmas chache tu zimebakia.
 
Mbona unataka kwenda na concepts za slavery? We're not talking about kutawaliwa in sense kuwa mwanamke anakosa uhuru! Mentality yako imebase huko. Tunaongelea maisha halisi hapa. Usianze kubadilisha dhana ambayo wote tunayo kichwani. Kama wewe ni mwanamke halisi na hau hisi kuwa protected by a man nakuhakikishia unajidnaganya mwenyewe na unataka tu kukuza ego ambayo unayo kichwani. Trust me hii kama utaiapply maishani hakuna mwanaume ambaye atakuvumilia.
She's very much likes to assume the idea that a woman is a victim of some form of abuse ambayo hata yeye hajui ipoje. She's very delusional.
 
Hebu naomba nifafanulie kwanza hiyo aina ya utawala unayomaanisha wewe maana naona unajaribu kuzunguka mbuyu tu hapa, wakati unachoongea kinaeleweka kabisa wala hakihitaji elimu ya rocket science, ni kama vile you are trying to call a spade a big spoon while it is just a spade so hebu nyoosha maelezo vizuri kwanza hapo
Actually its you not calling a spade a spade.
 
Back
Top Bottom