Utii wa wanawake wa kisasa

Mwanaume mlevi, hatunzi familia, hamheshimu mkewe anamletea mahawara hadi ndani nae anastahili heshima? Nyie mna utani🀣
Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi turudishe enzi za utumwa. Tujue moja.
Kwahiyo mwanamke anastahili kutendewa ubaya na kudharauliwa kwasababu ni mwanamke? Tf is wrong with this society?
_ Tatizo akili yako iko shallow to the point unashindwa kuelewa mambo. Ulicho kielewa sicho nilicho kiandika ( misinterpretation ), na hili ndio tatizo kubwa walilonalo mafeminist wote.

_ Hakuna kiumbe kinachoishi duniani kinachostahili kutendwa ubaya, Ubaya unaexist sababu ya uwepo wa watu wabaya (that's human nature). I wrote " treated accordingly ". A man should be treated as a man, and a woman should be treated as a woman.
 

Yani hata aje nani anielezee. Wanaume wenye matendo kama haya acha wapumzike tu kwa amani. HAWASTAHILI HESHIMA! Period ..
nyinyi mna kandamiza wanawake kwa kisingizio cha kwamba wakijitetea basi wao ni mafeminist. Kwenye ndoa lazima heshima iwepo. Mwanaume asipo kuwa na heshima na mkewe ndo hivyo analala hadi na mashemeji zake wagonjwa atalala hadi na mkwewe.

Aisee iteni majina yote ila mwanaume asiejiheshimu hastahili heshima. Pelekeni undezi hukoo
 
Wewe unavyokandamizaga wanawake hujioni? Wanawake wa JF mmewajengea uoga hata wa kujitetea wanadhani wakisema wataonekana feminists! WANAUME PIA MNATAKIWA MJIHESHIMU ILI MHESHIMIWE.

Haya muone mwenzio huyo
 
Ndo maana wanaume siku hizi mnabakwa. Haya ona sasa umeparamia comment nliyokua namjibu mtu mwengine umeivaa wewe. Em jishkilie basi tulia kwenye tenga lako utafikiwa acha kiherehere
Sitakujibu kwa namna ulivyonijibu lakin najua point yangu umeielewa. Mada inahusu mmong'onyoko wa maadili basi baki kwenye dhumuni la mada sio unaleta masuala ya kubakwa, ulevi, unyanyasaji ambayo hayahusiani na dhumuni la mada
 
Sitakujibu kwa namna ulivyonijibu lakin najua point yangu umeielewa. Mada inahusu mmong'onyoko wa maadili basi baki kwenye dhumuni la mada sio unaleta masuala ya kubakwa, ulevi, unyanyasaji ambayo hayahusiani na dhumuni la mada
Kwanini ulevi na unyanyasaji usihusiane?? Kwani kina nani wanautenda? Si hao wanaodhani kwa kuwa wameumbwa wanaume basi dunia nzima iwatetemekee hata kama wanakosea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…