Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.Mwanaume mlevi, hatunzi familia, hamheshimu mkewe anamletea mahawara hadi ndani nae anastahili heshima? Nyie mna utani🤣