Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Well said mkuu.
Me wanachonishangaza ni kitu kimoja, Kuwa na tabia njema ni sifa ya kuonyesha umelelewa vyema. Its like unawapa maua yao wazazi/walezi wako indirectly. Ila mabinti at their 20's wanashindana kuonekana hawana tabia nzuri kwa jamii as if ni jambo jema, which is very weird.
Ukikuta na hawa single mama at their late 30's nao wamevamia hoja za feminist bila kuchambua kwa ufasaha ndo utazidi kuchoka.
Sio single mama tu,sema single mama wenye vielimu vya kuanzia bachelor na kuendelea...
 
Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Nikikuambia una akili nyingi huwa unakataa 🤔
 
View attachment 3011801
Yani hata aje nani anielezee. Wanaume wenye matendo kama haya acha wapumzike tu kwa amani. HAWASTAHILI HESHIMA! Period ..
nyinyi mna kandamiza wanawake kwa kisingizio cha kwamba wakijitetea basi wao ni mafeminist. Kwenye ndoa lazima heshima iwepo. Mwanaume asipo kuwa na heshima na mkewe ndo hivyo analala hadi na mashemeji zake wagonjwa atalala hadi na mkwewe.

Aisee iteni majina yote ila mwanaume asiejiheshimu hastahili heshima. Pelekeni undezi hukoo
Na mwanamke asiye na heshima atatembea mpaka na mme wa dada yake
 
Back
Top Bottom