Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Vipi kuhusu wapenzi ambao bado hamjaingia ndani ya ndoa. Kila mmoja anaishi kwake, hapa mwanaume anawajibika kutoa izo huduma vinginevyo hakuna utiifu? na vipi kuhusu wanandoa ambao wote mna kipato hapa mwanaume atawajibika kutoa izo huduma vinginevyo hakuna utiifu?
Msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, huna mamlaka ya kukitawala kiumbe usichokihudumia, mbona nilitumia kiswahili rahisi kabisa mkuu
Mkuu naomba nionyeshe wapi nilishakubaliana na wanaume ambao hawatimizi majukumu yao kama mume. Kwa kifupi ni kwamba sikubaliani na 50/50, sikubaliani na unyanyasaji wa wanawake, sikubaliani na wanaume wote ambao hawatimizi majukumu yao kama mume(naomba nieleweke hapa nimesema mume sio boyfriend), sikubaliani na wanaume wanaozalisha wanawake na kuwaacha single mother(labda kama uyo mwanamke mwemyewe alikua ndie chanzo cha yeye kuachwa)
Oohh hapo sawa
Uyo na wafuasi wake wakina Guantanamoh wanachangamsha genge tu kulinda character zao walizozijenga hapa jf ila nakuakikishia yote wanayoubiri humu ndani hawawezi ku-practice kwenye mahusiano yao
Alaa kumbe kuna wenzetu mpo humu jf kwa ajili ya kujenga character hongereni, yes hatuwezi kupractice haya tunayoyahubiri humu kwa sababu hatuwezi kudate na watu wenye mitazamo ya ajabu kama ya humu, haya mahubiri ya humu ni kwa ajili ya watu wasiojielewa kama ninyi ila wanaojielewa haya mahubiri hayawahusu
 
Wala sijachanganya chochote. Nimeongelea utiifu kama tabia ambayo ipo ndani ya mtu kiasili kama tabia zingine mfano wizi, unyanyasaji, ulevi n.k.. yaani ni tabia ambazo mtu anajikuta anazi-practice tu automatically. Kama wewe sio mnyanyasaji mtu akikunyanyasa utaachana nae tu ila ukilipiza kumnyanyasa wote mnakua wanyanyasaji hauwezi kusema nimemnyanyasa kwa sababu na yeye alininyanyasa. Hauwezi kutumia kosa kuhalalisha kosa.
Ukishaweka kigezo cha pesa ili nawe uwe mtiifu hapa uta-practice utiifu kwa kuigiza tu mirija ya pesa ikikata automatically na utiifu utakata.
Kwahiyo unataka wanawake tunyanyasike na bado tuwatii?!!! Kila binadamu anazaliwa na utii, lakini likija suala la dharau, kejeli na manyanyaso sahau mtu kukutii.

Halafu nyie wanaume wa kibongo mnapenda KUABUDIWA km miungu watu.!!
 
Msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, huna mamlaka ya kukitawala kiumbe usichokihudumia, mbona nilitumia kiswahili rahisi kabisa mkuu
Nimeelewa ndio maana nikauliza vp katika situation ambazo hamkai pamoja au na mwanamke ana uwezo wa kujihudumia? Kwamba mwanaume utawajibika kumgharamia kodi, chakula, mavazi n.k wakati hamuishi pamoja? Hata mke akiwa na kazi bado mwanaume anawajibika kuhudumia
Alaa kumbe kuna wenzetu mpo humu jf kwa ajili ya kujenga character hongereni, yes hatuwezi kupractice haya tunayoyahubiri humu kwa sababu hatuwezi kudate na watu wenye mitazamo ya ajabu kama ya humu, haya mahubiri ya humu ni kwa ajili ya watu wasiojielewa kama ninyi ila wanaojielewa haya mahubiri hayawahusu
Waliopo uko mtaani ndio hawa hawa wa jf. Wewe ni keyboard warrior tu ila mahubiri yako hauwezi kuya-apply kwenye mahusiano yako.
 
# ROCA FELLA

WANAWAKE KWA WANAUME NASHAURI MSIPENDE KUJENGA DHARAU, KIBURI, UBINAFSI, SIFA HAFIFU, KWA SABABU MAISHA YETU KWA UJUMLA HAPA ULIMWENGUNI NI MCHACHE ISITOKEE BINADAMU YEYOTE AKAKURINGIA NI KWA SABABU WOTE TUNA ONJA UMAUTI
 
Unajifanya kuwa na sauti na pesa huna!!! Aaah huo ni mtindio wa ubongo.
Shangaa na wewe!! Hata mataifa makubwa ili yawamiliki mataifa madogo lazima wawe na PESA.
Hivi nchi km Tanzania inaweza kumvimbia Marekani?? Awwwweh wanaume watafute PESA. Halafu hizi kelele huwezi kuzisikia kwa kina GSM ila hawa ving’ong’o wavivu wavivu 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe hizo wine zishapanda kichwani, tulia embu🤣🤣🤣🤣
 
Shangaa na wewe!! Hata mataifa makubwa ili yawamiliki mataifa madogo lazima wawe na PESA.
Hivi nchi km Tanzania inaweza kumvimbia Marekani?? Awwwweh wanaume watafute PESA. Halafu hizi kelele huwezi kuzisikia kwa kina GSM ila hawa ving’ong’o wavivu wavivu 🤣🤣🤣🤣
Tena hao wanautaka utumwa sio utii yaani akioa leo anavunjika mikono na miguu hata kikombe kiko karibu yake anataka umletee 🤨
 
Back
Top Bottom