Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Feminism lengo lake linajulikana ni kutaka kuweka usawa kati ya wanaume na wanawake kwenye masuala mazima ya kijamii na kiutawala yani wote wawe na haki, wajibu, fursa na mamlaka sawa kwa maana kwamba kila mmoja ajitawale mwenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie so acheni kupotosha, ninyi wanaume mnalazimisha kuendelea kuwatawala wanawake na kuwasemea kuwa wanapenda kutawaliwa na bila aibu mnawatolea mifano bibi zetu ambao mnajua kabisa walilazimika kuishi vile kwa sababu tu hawakuweza kujitetea na si kwamba walikuwa wanapenda, hiyo tafsiri ya kuwa na akili ni yenu ninyi wanaume wa kiafrika na siyo general au universal yani ninyi mnalazimisha kwamba mwanamke kukubali kutawaliwa na mwanaume na kuvumilia mabaya yote ya waume zao hata yale yanayowaumiza ndio kuwa na akili so hilo linadhihirisha kati ya sisi na bibi zetu ni kina nani walikuwa victims wa manipulationAm not against feminism at all, najua imeanza zamani hasa kwa wazungu huko ila ujinga ni kuwa wanawake mnaichukulia in a negative way, unajua kwa nini ndoa zamani zilikua zinadumu na hakukua na mmomonyoko wa maadili? Na bado mwanamke hakupata hizi opportunity amabazo anazo leo? Jibu ni rahisi sana mmepewa uhuru mnaanza kuutumia to your advantage na hii inawa cost lkn hamshtuki wala kuona mapungufu yapo wapi. Napenda sana wanawake wawe huru na kufanya vitu kwa usawa kama wanaume lkn wajinga ni wale wanao Cross borders kujiona na wao wamekuwa wanaume. Wafuasi wa feminism wengi hawajui lengo kuu na wengi wao huwa psychologically hawapo vzr either alitumia ujana wake vibaya so ile depression anaiweka kwenye feminism kuwachukia wanaume bure. Kingine watu wanaopitia maumivu kwenye mahusiano amabao ni wanaume wapo kimya coz systems zinawapa kipaumbele wanawake akiguswa tu sheria. Ndo maana narudi kusema mlio kuwa manipulated ni nyie na sio bibi zetu, inagwa hawakusoma ila wamewazidi akili