Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Am not against feminism at all, najua imeanza zamani hasa kwa wazungu huko ila ujinga ni kuwa wanawake mnaichukulia in a negative way, unajua kwa nini ndoa zamani zilikua zinadumu na hakukua na mmomonyoko wa maadili? Na bado mwanamke hakupata hizi opportunity amabazo anazo leo? Jibu ni rahisi sana mmepewa uhuru mnaanza kuutumia to your advantage na hii inawa cost lkn hamshtuki wala kuona mapungufu yapo wapi. Napenda sana wanawake wawe huru na kufanya vitu kwa usawa kama wanaume lkn wajinga ni wale wanao Cross borders kujiona na wao wamekuwa wanaume. Wafuasi wa feminism wengi hawajui lengo kuu na wengi wao huwa psychologically hawapo vzr either alitumia ujana wake vibaya so ile depression anaiweka kwenye feminism kuwachukia wanaume bure. Kingine watu wanaopitia maumivu kwenye mahusiano amabao ni wanaume wapo kimya coz systems zinawapa kipaumbele wanawake akiguswa tu sheria. Ndo maana narudi kusema mlio kuwa manipulated ni nyie na sio bibi zetu, inagwa hawakusoma ila wamewazidi akili
Feminism lengo lake linajulikana ni kutaka kuweka usawa kati ya wanaume na wanawake kwenye masuala mazima ya kijamii na kiutawala yani wote wawe na haki, wajibu, fursa na mamlaka sawa kwa maana kwamba kila mmoja ajitawale mwenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie so acheni kupotosha, ninyi wanaume mnalazimisha kuendelea kuwatawala wanawake na kuwasemea kuwa wanapenda kutawaliwa na bila aibu mnawatolea mifano bibi zetu ambao mnajua kabisa walilazimika kuishi vile kwa sababu tu hawakuweza kujitetea na si kwamba walikuwa wanapenda, hiyo tafsiri ya kuwa na akili ni yenu ninyi wanaume wa kiafrika na siyo general au universal yani ninyi mnalazimisha kwamba mwanamke kukubali kutawaliwa na mwanaume na kuvumilia mabaya yote ya waume zao hata yale yanayowaumiza ndio kuwa na akili so hilo linadhihirisha kati ya sisi na bibi zetu ni kina nani walikuwa victims wa manipulation
 
Watoto wa siku hizi wabishi kweli, hawaelewi somo.
 
Mwanzo walikuwa Wanasema "Tukiwezeshwa Tunaweza" Wakawezeshwa Sasa wanadai wao wanaweza Kwa Sababu Wanaweza Sio kwa sababu Wamewezeshwa.

Ni vile Tuu kuna baadhi ya Wanaume Wanasupport Hili jambo Ila Actually Wanawake Ni watu Wanaohitaji Msaada na Usimamizi wa Mwanaume Na Hili lipo wazi Sana japo kulikubali hawa Dada zetu Waliobahatika Kupata Bachelor Ni ngumu kidogo.
 
Feminism lengo lake linajulikana ni kutaka kuweka usawa kati ya wanaume na wanawake kwenye masuala mazima ya kijamii na kiutawala yani wote wawe na haki, wajibu, fursa na mamlaka sawa kwa maana kwamba kila mmoja ajitawale mwenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie so acheni kupotosha, ninyi wanaume mnalazimisha kuendelea kuwatawala wanawake na kuwasemea kuwa wanapenda kutawaliwa na bila aibu mnawatolea mifano bibi zetu ambao mnajua kabisa walilazimika kuishi vile kwa sababu tu hawakuweza kujitetea na si kwamba walikuwa wanapenda, hiyo tafsiri ya kuwa na akili ni yenu ninyi wanaume wa kiafrika na siyo general au universal yani ninyi mnalazimisha kwamba mwanamke kukubali kutawaliwa na mwanaume na kuvumilia mabaya yote ya waume zao hata yale yanayowaumiza ndio kuwa na akili so hilo linadhihirisha kati ya sisi na bibi zetu ni kina nani walikuwa victims wa manipulation
kama ulikua hujui nyie ndo wahanga mnakaa kubishana tu bila kuangalia kwa mapana. Wanamke wa aina yako ndo wale walosoma ila badala ya elimu kumkomboa kaishia kuwa manipulated. Lastly wanawake wa zamani despite hawakupata elimu, ila elimu ya maisha walikuwa nayo nyie mmebaki kutapatapa tu na feminism yenu isiyo na manufaa, hamjui imeletwa kwa ajili kuvunja misingi ya kiafrika, wenzetu ingawa wanayo ila mafeminist wa huko wapo so independent kabisa they're taught how to survive alone. Mimi ndo maana toka mwanzo nilikwambia usibase on the negative hapo ndo kunakufanya uone ubaya tu. Mwanamke anaye jitambua lazima awe under a man's protection hakuna mwanaume duniani atakaye kubali kuishi na mwanamke asiye mfanya afeel yy ndo kiongozi hilo haliwezekani. Kama na hili utabisha basi nilikuwa sawa huwezi kuishi na mwanaume.
 
Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia maana mwanzo ulikuwa unajaribu kukwepa hiki ulichokiandika na ndio nilikuwa nakusubiria uzunguke weee nikijua mwisho wa siku lazima tu utakuja hapa, hapo uliposema kwamba hakuna mwanaume duniani atakubali kuishi na mwanamke asiyemfanya afeel yeye ndio kiongozi huo ndio uhalisia wenyewe sasa ambao wanaume wengi mnakwepa kuusema, hizi kelele zote za kutaka muendelee kuwatawala wanawake ni kwa sababu ya manufaa yenu binafsi yani ni ili tu ninyi mfeel superior nje ya hapo huwa mnafeel inferior hayo mengine ya kusema eti wanawake ndio wanafaidika na huo mfumo ni porojo tu ila hakuna lolote
 
Women are weak before the nature before the Biology(physiology )before the holy scriptures before everything except Feminism.

Basi tuu Ubishi.
 
Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia maana mwanzo ulikuwa unajaribu kukwepa hiki ulichokiandika na ndio nilikuwa nakusubiria uzunguke weee nikijua mwisho wa siku lazima tu utakuja hapa, hapo uliposema kwamba hakuna mwanaume duniani atakubali kuishi na mwanamke asiyemfanya afeel yeye ndio kiongozi huo ndio uhalisia wenyewe sasa ambao wanaume wengi mnakwepa kuusema, hizi kelele zote za kutaka muendelee kuwatawala wanawake ni kwa sababu ya manufaa yenu binafsi yani ni ili tu ninyi mfeel superior nje ya hapo huwa mnafeel inferior hayo mengine ya kusema eti wanawake ndio wanafaidika na huo mfumo ni porojo tu ila hakuna lolote
It's not about feeling superior or inferior na mimi ndo nlikua nakusubiri unase hapohapo. Wewe haupo sawa psychologically kama kweli ni mwanamke, nlikuambia ufatilie masculine and feminine roles ambazo zina apply kwa specie wote ukasingizia sjui nini, ila ukweli unajulikana na ndo basis za viumbe vyote. Toka mwanzo nilijua ww utakuwa hupendi tu hilo swala na kama nilivyo kuambia ukiendelea na hii mentality uta data serious, sikutanii. Kuwa mwanamke sio udhaifu, you have to let men lead you na that's how mmeumbwa na haitabadilika kamwe. It's not about feeling superior narudia, it's nature and you can't go against it.
 
Si unaona sasa yani hamnaga jibu lolote la maana zaidi ya kusingizia nature na mkiambiwa muelezee msingi wa hiyo nature mnakimbilia kujifanya mnajua saikolojia na maisha ya watu mimi msimamo wangu ni kwamba mwanaume anatakiwa kumtawala mwanamke ikiwa tu anamhudumia na si vinginevyo, na wala hakuna nature hapo bali ni gender assigned roles tu and ofcourse wanaume wengi huwa mnakuwa na inferiority complex pale mnapoona wanawake zenu wamewazidi baadhi ya mambo kwa kuhofia kwamba mtashindwa kuwatawala, bado mnaendelea kulazimisha wanawake wakubali muwatawale kwa kuwadanganya na hizo porojo zenu hivi kwanini ulazimishe kiumbe mwenye utashi kama wewe akubali kuwa chini yako tena bila kuhoji yani ndio maana nauliza msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko katika nini ukiachilia huduma za kiuchumi
 
images (4).jpeg

Next time uwe unafanya research kabla ya kuhoji.
 
View attachment 3014079
Next time uwe unafanya research kabla ya kuhoji.
Mkuu hivi unaelewa maana ya nature mbona naanza kupata mashaka na uelewa wako, badala ya kuniambia msingi wa yale niliyokuuliza unaniletea mawazo ya watu yani ni sawa na mimi nikuulize, kwanini mtu mweupe amtawale mtu mweusi halafu wewe uniambie ni nature kisha unanipa majibu yaliyotolewa na mtu mweupe
 
Stop acting like a zombie 🧟‍♂️, do you know the answer as to why uliumbwa mwanamke? Kingine dispite hio kitu kuandikwa na mtu mweupe ni misingi ambayo hutakiwi kwenda shuleni kijufunza you can feel them as you grow na unapopata utambuzi kama binadamu kamili. Hizo ni instincts ambazo kila kiumbe anazo. Sasa kama ww huwezi kuzifeel utakuwa alien au mtu kutoka sayari nyingine. Ndo maana nikasema mmesoma kuwa manipulated. Hayo unayo bisha hayana mantiki nilitaka ku verify nilokuwa nafikiri khs wewe sasa nimeshaelewa. Unashida kubwa sana, na ubishi wako mpk kufikia hapa huna hoja ya msingi naona una question existence ambayo hamna mtu anayeweza kui question isipo kuwa creator.
 
Oohh kwahiyo hata watu weusi hatukustahili kupinga wala kupambana na ukoloni na utawala wa mtu mweupe dhidi yetu kwa sababu kwa mujibu wao ni nature na imewekwa na creator si ndio, ndio maana nilikuuliza kama kweli hizo ni instincts ambazo wanawake wote duniani wanakuwa nazo kwanini sasa wanawake wote duniani wasingekuwa na uniform mentality kwanini feminism ilipoanzishwa tu ikawa na nguvu hadi leo kwanini isingejifia tu tangu mwanzo, unaacha kujibu hoja zangu unaanza kunidescribe mimi kama mimi ilihali hata hunifahamu hivi wanaume wa jf kwanini mkiishiwa hoja mnapenda kutumia hii mbinu ya ad hominem attacks kama defensive mechanism ili tu mpate sababu ya kujifariji
 
Ndo maana nikikuuliza kwanini ulizaliwa mwanamke? Nijibu kwanza hilo swali na unipe vivid explanation... hiyo ni kazi ya nature vivyo hivyo nimekupa maelezo kamili na bado unabisha based on some manipulation ambazo binadamu kazianzisha kuteka minds za wajinga, ambao ndo nyie mnao kinzana na hisia zenu. Wewe bado hujakuwa na bado huna integrity kichwani ndo maana nikasema unashida psychologically. Haijajifia coz it's like other false beliefs kama wanaoamini ushoga. Sjawahi kuona mtu anayekinzana na hisia zake mwenyewe so ignorant. Sitaki kujifariji nimekupa uhalisia na bado huutaki so naona kama nimepoteza muda tu because wewe in bata mzinga🤣🤣🤣. Hivi unahisia kweli? Kama kweli unabisha seriously na sio matani basi na wasiwasi kuhusu sexuality yako.
 
Oohh kwahiyo hata watu weusi hatukustahili kupinga wala kupambana na ukoloni na utawala wa mtu mweupe dhidi yetu kwa sababu kwa mujibu wao ni nature na imewekwa na creator si ndio, ndio maana nilikuuliza kama kweli hizo ni instincts ambazo wanawake wote duniani wanakuwa nazo kwanini sasa wanawake wote duniani wasingekuwa na uniform mentality kwanini feminism ilipoanzishwa tu ikawa na nguvu hadi leo kwanini isingejifia tu tangu mwanzo, unaacha kujibu hoja zangu unaanza kunidescribe mimi kama mimi ilihali hata hunifahamu hivi wanaume wa jf kwanini mkiishiwa hoja mnapenda kutumia hii mbinu ya ad hominem attacks kama defensive mechanism ili tu mpate sababu ya kujifariji
Akili yako ilivyo matope unaingiza swala la ukoloni kwenye personal na psychological matters. Yaani swala la kibinadamu kwenye mambo ya asili. Mfano gani umeweka hapo🤣 mpk nimecheka.
 
Back
Top Bottom