Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Nya nyie wanawake mtakalia kutumika na kulala mika kuwa siolewi/ mala nimelogwa, Mala Nina mikosi na heshima yako katika jamii haito kuwepo heshima ya Mwanamke ni kuolewa na kuishi katika misingi ya Ndoa.
Watajifunza iwe kwa nyimbo au kwa bakora ila kujifunza ipo pale pale.
 
Twende kwa hatua,kilichomfanya awe reject at 30,ni kutokana na yeye kuwakataa wale ambao hawakuwa na pesa za kumpa at her prime age na akawakubali wale waliokuwa wakimpa pesa za kutosha.
Sasa hao waliokuwa wakimpa huduma nzuri kipindi kile yuko on fire,wako wapi sasa akiwa yuko 30 and above?mbona hawakuambatana nae hadi sasa?
Kwahiyo kwasababu sasa amekuwa reject,suala la mwanaume kumhudumia vizuri sio kipaumbele tena?sio miongoni mwa parameters anazozitaka kwa mwanaume?Hapana,na sisi hatukutaki,rudi kwa wale wale waliokuwa wanakuhudumia vizuri ndo wakuoe!
Analeta akili za kidangaji kwenye maswala ya ndoa takatifu.
 
Unaongelea watu wa zama za giza miaka hii??
Sasa km walikuwa wanatii waume zao kwann hao mababu hawakujiamini mpk wakaongeza wanawake wengine?? Kwahiyo point yako ipi hapo? Utii au kumiliki mbususu nyingi ambazo wazee wengine walikuwa wanawasaidia kuchakata?

Sasa kwa taarifa yako hata hao wazee wa kale ili uwezo kumiliki wanawake wengi lazima uwe na uchumi wa kueleweka. Rudi kwa mfalme Suleiman alikuwa na utajiri wa kutisha, ndiomana alimiliki wanawake 700 na masuria 300. Zemanda tafuta pesa utamiliki kila unachokiwish maishani mwako. Ila kwa hizi ngonjera zako utasubiri sana’aa
Kuwa na mke zaidi ya m'moja haina uhusiano na kutojiamini. Inahusiana na tabia au psychology ya mwanamke ambayo huwa haimruhusu kupendwa au kupewa attention na mwanaume akiwa pekee yake wanawake hii kitu hawapendi.

Wanawake wanapenda kuwapo na wanawake wenzake ili wamuonyeshe utamu wa mwanaume. Kama unabisha then jifanyie tathimini hata wewe uwe na mwanaume anakupa attention kali 24/7 anataka game kila siku tena anapeleka moto ile ya balaa wadhani utavunga muda mrefu ipo siku tu utajikuta umesanda unaomba poo na unawish angekuwa na mke.

Imagine kuwe na majukumu unafanya, kulea watoto, kusimamia nyumba, biashara, halafu bado mwanaume atake attention yako bado atake usiku kila siku wewe utaweza hiyo?

So kuwa na wanawake zaidi ya moja ni jambo ambalo ninyi watoto wa siku hizi huwa mnalitazama juu juu sana. Hamlitazami ile deep.
 
Mimi kwanza ni independent woman nna value na standards zangu ilo aweke akilini kabla hajaingia kwenye maisha yangu..!!

Akiweza kufit vigezo vyangu na akawa na misingi ya kiumeni ile ya uwajibikaji ahhhaa mbona suala la discipline sio la kuhoji.!! Ataheshimika mpk aandike kitabu cha mithali version 2. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila akileta upuuzi na mitabia ya hovyo ataaga mashindano mapema b’se sipo kulea ujinga na wajinga. Discipline iendane na uwajibikaji Zemanda ww mbona bichwa lako gumu kuelewa??
Kuwa independent hiyo sio hoja ya msingi kwa mwanaume ni sawa na yeye aseme ameshatembea na wanawake wazuri wengi sana, wewe hiyo hoja kwako inakuwa inakupa msituko au hamasa gani ya kuwa nae? So similarly wanaume ukituambia kuwa upo independent hiyo unataka tuipokee vipi kwamba itatupa sisi wanaume benefits gani in the short and long run? [emoji848] Anyways, point of correction mwanaume haingii kwenye maisha yako ni wewe unaingia kwenye yake. Kama anaingia kwenye maisha yako how comes yeye ndie analipa bills wewe ukiwa unarelax tu kwakuwa ni mwanamke?

Kwanza kitendo cha kusema "akiweza kufit vigezo vyangu" tayari inaonyesha wewe sio mwanamke wa kuwa na adabu au utii na mwanaume sababu una haiba ya kiume ya kutaka kuwa na maamuzi juu ya mwanaume. Hapo utaambilia kupata mwanaume soft ambaye mtaburutana na hautafurahia mahusiano. Wanawake combative na ambao sio submissive ni ngumu sana kuattract wanaume wenye haiba ya kiume.


Kwa kifupi utakuwa unapoteza muda wako tu, kupima wanaume sio kazi yako utakuwa ni sawa na kucheza mieleka na nguruwe kwenye tope mtachafuka ila yeye atafurahia. Wewe kupima mwanaume atakulia timing akukule na kukuacha solemba. Ukijastukia miaka 20 imepita umeliwa na wanaume zaiid ya 10 na uzee umekuvaa. Sasa kama wewe unaona mimi naongea comedy hapa basi wacha muda useme.
 
Aiseee yani wewe kila siku unaingia jf na unaona comments kwenye huu uzi wako unaziacha halafu leo ndio unaibuka na quotes mia kidogo na unategemea nikujibu, im sorry bro sina muda wa kusoma wala kujibu comments zako zote hizo kwa sababu najua hata nikisoma hakuna kipya nitakachokuta umeandika, au pengine nitakuta umeongelea ambayo tayari nimeshawafafanulia wenzio niliokuwa najadiliana nao humu kwahiyo badala ya kunirudisha nyuma endelea tu kusoma hadi mwisho wa huu uzi unaweza ukapata majibu
Kwan umeambia hii ni assignment kwamba ina deadline lazima niijibu au kuiandika as per a certain date? [emoji848]

Acha kunichakachua.
 
Inategemea na uulizaji wako wa “kwanini chakula knachelewa?” km unafoka na kumsimanga unafikiri atakuheshimu?? Chakula kimechelewa mfate jikoni babe wako umuulize kwa mahaba na upendo tena ikiwezekana msaidie kumsogezea mwiko awahi kupika, ebu onyesha ushirikiano km mnavyopika chakula cha usiku room kwenu, halafu uone km huyo mwanamke hatokuheshimu!! Tatizo lenu mnatumia nguvu kubwa na ubabe wa kijinga kwenye vitu vidogo..!!
Utii wa mwanamke unakujaga automatically km kuna mwanaume mwenye “MAPENZI NA UWAJIBIKAJI” Zemanda unanichosha bana bichwa lako gumu, ww mkurya??
Kwenda zako ni wapi nimejitambulisha kama mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ipo hivi, wewe unaongelea haya katika mitazamo ya wanaume kuwa ni wakorofi. Ila unasahau kuna wanawake wanavisirani sana.

Mwanaume chakula amenunua kipo ndani, gesi ipo, kuna house girl wa kusaidia majukumu, unampatia mahitaji. Ila somehow kwa sababu zenye mashiko na uvivu unafika nyumbani, umepita migahawa, Bar, umekataa offer ya kitimoto kwa washkaji unasema naenda kula nyumbani unakuta saa mbili ya jioni ndio kwanza mchele unachambuliwa mboga hazijaungwa na unanjaa balaa. Na sio mara moja ni tukio la kujirudia.

Hapo nikiuliza kwa ukali ninakuwa nimekosea kweli? [emoji848]

Najua unatetea kambi. Ila ni kazi bure mnafanya kutetea vitu ambavyo haviwasaidii badala yake vinaleta migogoro isiyo na kichwa wala miguu. Imagine kugombana na mwanaume sababu unachelewa kumuandilia chakula mara kwa mara au anasema hapendi chakula fulani au mboga fulani then unapita muda unamuandalia na pesa ameacha plus mboga kwenye friji ipo ya kutosha. Why unamchokoza mwanaume wa namna hii ili awe mkali useme anakunyanyasa?

Akiacha kula nyumbani akaanza kula huko anakopita si ndio kelele zitaanza kuwa amepata nyumba ndogo, kwann sasa mnaamua tu kuwa wazinguaji? [emoji848]
 
Kwahiyo unataka kuniambia ndio umegundua leo?? Mahusiano biashara ndio ndiomana wanaume mnatulipia mahari. Hujiulizi kwanini wewe hulipiwi??
Mimi nimekwambia mwanaume ambaye sio muwajibikaji siwezi kuwa naye, huyo anakuwa hana tofauti na ke mwenzangu. Sasa mwanaume asiyewajibika kwangu nimuheshimu wa kazi gani??
Na wewe unaamini kuwa kuna mwanaume ambaye anaishi na mwanamke kama mwanaume mwenzie, hao wanaume ulikutana nao wapi tuambie?

Maana usije kuwa unaishi kwenu au hostel au unaishi mwenyewe kisha unasema wanaume hawahudumii, wewe hauishi eneo langu, sijui unalala na nani usiku, sijui unashinda wapi sijui unachupi ngapi, naanzaje kupokea request zako za kukupa matunzo out of nowhere huo si ni wizi? [emoji848]
 
Yani ww lijinga!!! Aaarrrrghhh!!
Kwa akili zako kisoda unahisi kila mwanamke ni muhitaji wa ndoa kikubwa aonekane naye kaolewa hata na kichwa maji km wewe!!? Nowadays wanawake tunafocus na kutafuta pesa sio ndoa Zemanda hilo weka akilini. Hupo km mtu anayeishi zama za kale kwanini??

Mimi kuolewa au kutokuolewa sio kipaumbele changu, siwezi kufurahisha watu nionekane nina ndoa kumbe nimejitafutia bomu la stress, hiyo kwangu hakuna.!! Nitaolewa na kuzaa pale nitakapoona mwanaume ninayemuhitaji sio kujibebea furushi.
Jisemee wewe binafsi na nafsi yako ila usiwasemee wenzako huku nje tunaokutana nao wanaitafuta ndoa kuliko hata kazi na wengine wapo makazini ila huwaambii kitu kuhusu ndoa wanataka hata ya bahati mbaya.

Ndoa anaitafuta Jennifer Lopez, anapesa na ni mzuri, sembuse ninyi ambao hata pesa ya kifurushi cha wiki kumudu ni mtihani.

Niffer yule pale ni binti mchakalikaji anakwenda Dubai, china na kwingineko ila umeona alichofanya, katafuta mwanaume amemuoa na wanapambana wote. Sasa yule ni binti anayeelewa maana na nafasi ya mwanaume hata kama anajeuri ya kutafuta pesa. We unadhani alishindwa kusema aishi kisela? [emoji848]

Ni akina ninyi tu ambao ni kwanza masikini wa kipato, mnatoka familia za kawaida na hamna ramani ya maisha kujifanya mnajua kupambana na huku uhalisia wa maisha yenu ni kuomba pesa tena kwa exchange ya kupelekwa location kuliwa ili mpost.

Sasa wewe kama unahisi unahiyo jeuri unayosema uko nayo nakupa hapa count down. Mwanamke una miaka 10 tu ya kuringa na kuleta mbwe mbwe za usichana, baada ya hapo utazolewa na mwanaume yoyote ambaye atakuwa available ukigoma utajiongezea mateso ya hisia na utakuja olewa na kituko cha mwanaume kuliko mwanaume uliyemdharau kuliko wote.

Hesabu miaka 10 kutokea umri wa miaka 16. kutoka 16 hadi 26 ni miaka 10 yenyewe. Sasa sijui wewe umri gani. Kama umevuka 26 then count down imeanza ukielekea 30 ambayo ni umri wa lala salama. Tafuta hela uje ulelee Marioo na wanaume za watu matapeli ila kupata mwanaume wako wa ndoto sahau utabakia kuota ila hauta muona.

Kama unabisha hata twende kazi.
 
Wewe unachanganya mambo unanichosha
Sichanganyi mambo, unajibu bila kutafakari, unasoma vitu vinastua ubongo wako unashindwa kuprocess unasema nakuchanganya.
 
Narudia tena, sio kila mwanaume wa kuolewa naye. Siwezi kupanga kuolewa na mwanaume mjinga, mvivu na mpumbavu eti kisa nionekane nina ndoa, nehi nehi my friend.
Unaongelea vitu vingi kuforce wanawake waolewe na wajinga ndio ninachokiona hapa.
So ni wapi umeshawahi kuona wanaume tunashauri wanawake muolewe na wanaume wajinga, wavivu, na wapumbavu? [emoji848]

Hivi hizi si ndio choices zenu mabinti wa kisasa? Mkikutana na mwanaume mchapakazi, mwenye akili ya Maisha, na mwenye msimamo huwa mnasema ni wanaume controlling na wababe na wapelekeshaji, mnakwenda kuchukua mabrother men wa kikongo, wanaijeria, na mabishoo wengineo mkishaingia nao humo ndani ndipo mnajua hawana uwezo wa kulipa kodi, hawana uwezo wa kusimamia gharama za nyumba, hawana kazi ni omba omba etc?

Kwan mnadhani sisi hayo hatuyajui? [emoji848]

Mabinti wa kisasa changamoto za kimahusiano kwa 90% zinasababishwa na choice zenu binafsi na sio maamuzi ya wanaume. Unakwenda zaa na mume wa mtu akikutelekeza unasema wanaume wamekufanya hivi na vile hivi kweli upo serious?

Unakwenda kuanza mahusiano na mwanaume ambaye ana matattoo kasuka Rasta, anavaa milegezo, hapo unakuwa ulianza nae kimzaha mzaha kama mshikaji wakati ukingojea kupata mwanaume wa kukuoa serious mara mnalala wote chumba kimoja huku na kule unamimba yake mara umeshazaa. Ndipo unashituka halafu lawama unatupa wanaume serious ambao tukikutokea unaleta ujuaji kama unaoleta hapa.
 
Ukweli utabaki ukweli haijalishi nani hatutaki

Hakuna mwanamke atakutii wakati huna upendo wa kweli, humtunzi, nk
Maana ukimpemda mkeo utamtinza
Simple
Hakuna ukweli hapo, hata wewe unajua kuwa mwenzako anachoongea ni hoja zinazofanania fikra zake tu na sio uhalisia.
 
Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yani
Utii sio utumwa dada.

Samahan kusema hivi lakini Unaonesha ni muhanga wa mahusiano uliyopita.
Mbona unataka kwenda na concepts za slavery? We're not talking about kutawaliwa in sense kuwa mwanamke anakosa uhuru! Mentality yako imebase huko. Tunaongelea maisha halisi hapa. Usianze kubadilisha dhana ambayo wote tunayo kichwani. Kama wewe ni mwanamke halisi na hau hisi kuwa protected by a man nakuhakikishia unajidnaganya mwenyewe na unataka tu kukuza ego ambayo unayo kichwani. Trust me hii kama utaiapply maishani hakuna mwanaume ambaye atakuvumilia.
Ana victim mentality huyo.

mkuu mtaani Kuna wanawake wengi sana wanaotii kuliko anayozungumza huyo dada,
Ni kuchagua vizuri tu mwenza wa Maisha.
 
Wanawake wa sikuhizi akuheshimu kwa kipi haswa, kwanza hawana shida na wapo tayari kwa lolote mbwaimbawi ukimwaga Mboga ana mwaga ugali. Nowdays ukitaka kuishi vizuri na mke wako mfanye awe kama mshikaji kifupi usichukulie serious sana mapenzi.
 
Ukweli utabaki ukweli haijalishi nani hatutaki

Hakuna mwanamke atakutii wakati huna upendo wa kweli, humtunzi, nk
Maana ukimpemda mkeo utamtinza
Simple
Sisi hatuongei hapa kwasababu hakuna wanawake wa kuoa. Tunaongea ili kuwasaidia wale mabinti ambao hawajitambui kama akina Jadda ili at least wapate a final fighting chance.

Kuhusu sisi wanaume kupata wanawake wa kututii wa kuoa hiyo hatiwezi kukosa abadani. Wamejaa tele ni kuchagua. Balaa ni ninyi sasa mnaotaka wanaume wa kuwatoa out kila weekend, wa kuwanunulia kila toleo la iphone likitoka, wakuwanunulia nguo za fashion kila mwezi, wa kuwajengea nyumba kubwa na kuwanunulia magari ya bei plus vacation kila mwaka nje ya nchi ndipo muweze kuwaheshimu, sijui hao wanaume tanzania wanapatikana kwa wingi wilaya gani ya mkoa gani.
 
Utii sio utumwa dada.

Samahan kusema hivi lakini Unaonesha ni muhanga wa mahusiano uliyopita.

Ana victim mentality huyo.

mkuu mtaani Kuna wanawake wengi sana wanaotii kuliko anayozungumza huyo dada,
Ni kuchagua vizuri tu mwenza wa Maisha.
Haka kameshafeli. Ni swala la muda tu kaweze kuprove point.
 
Wanawake wa sikuhizi akuheshimu kwa kipi haswa, kwanza hawana shida na wapo tayari kwa lolote mbwaimbawi ukimwaga Mboga ana mwaga ugali. Nowdays ukitaka kuishi vizuri na mke wako mfanye awe kama mshikaji kifupi usichukulie serious sana mapenzi.
Kwa maneno hayo una maanisha tuoe akina Giggy money. Balaa mnalo aisee kama mnadhani tunashindana. Wanaume hatuna shida eneo la kupata wake maana tunawatengeneza wenyewe ninyi sasa kupata mwanaume ambaye ataendana na matarajio na ndoto zako ni sawa na kujipepea huku umelala chumba chenye joto kali huo usingizi utakujaje aisee.
 
Back
Top Bottom