Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajifunza iwe kwa nyimbo au kwa bakora ila kujifunza ipo pale pale.Nya nyie wanawake mtakalia kutumika na kulala mika kuwa siolewi/ mala nimelogwa, Mala Nina mikosi na heshima yako katika jamii haito kuwepo heshima ya Mwanamke ni kuolewa na kuishi katika misingi ya Ndoa.
Analeta akili za kidangaji kwenye maswala ya ndoa takatifu.Twende kwa hatua,kilichomfanya awe reject at 30,ni kutokana na yeye kuwakataa wale ambao hawakuwa na pesa za kumpa at her prime age na akawakubali wale waliokuwa wakimpa pesa za kutosha.
Sasa hao waliokuwa wakimpa huduma nzuri kipindi kile yuko on fire,wako wapi sasa akiwa yuko 30 and above?mbona hawakuambatana nae hadi sasa?
Kwahiyo kwasababu sasa amekuwa reject,suala la mwanaume kumhudumia vizuri sio kipaumbele tena?sio miongoni mwa parameters anazozitaka kwa mwanaume?Hapana,na sisi hatukutaki,rudi kwa wale wale waliokuwa wanakuhudumia vizuri ndo wakuoe!
Kuwa na mke zaidi ya m'moja haina uhusiano na kutojiamini. Inahusiana na tabia au psychology ya mwanamke ambayo huwa haimruhusu kupendwa au kupewa attention na mwanaume akiwa pekee yake wanawake hii kitu hawapendi.Unaongelea watu wa zama za giza miaka hii??
Sasa km walikuwa wanatii waume zao kwann hao mababu hawakujiamini mpk wakaongeza wanawake wengine?? Kwahiyo point yako ipi hapo? Utii au kumiliki mbususu nyingi ambazo wazee wengine walikuwa wanawasaidia kuchakata?
Sasa kwa taarifa yako hata hao wazee wa kale ili uwezo kumiliki wanawake wengi lazima uwe na uchumi wa kueleweka. Rudi kwa mfalme Suleiman alikuwa na utajiri wa kutisha, ndiomana alimiliki wanawake 700 na masuria 300. Zemanda tafuta pesa utamiliki kila unachokiwish maishani mwako. Ila kwa hizi ngonjera zako utasubiri sana’aa
Kuwa independent hiyo sio hoja ya msingi kwa mwanaume ni sawa na yeye aseme ameshatembea na wanawake wazuri wengi sana, wewe hiyo hoja kwako inakuwa inakupa msituko au hamasa gani ya kuwa nae? So similarly wanaume ukituambia kuwa upo independent hiyo unataka tuipokee vipi kwamba itatupa sisi wanaume benefits gani in the short and long run? [emoji848] Anyways, point of correction mwanaume haingii kwenye maisha yako ni wewe unaingia kwenye yake. Kama anaingia kwenye maisha yako how comes yeye ndie analipa bills wewe ukiwa unarelax tu kwakuwa ni mwanamke?Mimi kwanza ni independent woman nna value na standards zangu ilo aweke akilini kabla hajaingia kwenye maisha yangu..!!
Akiweza kufit vigezo vyangu na akawa na misingi ya kiumeni ile ya uwajibikaji ahhhaa mbona suala la discipline sio la kuhoji.!! Ataheshimika mpk aandike kitabu cha mithali version 2. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akileta upuuzi na mitabia ya hovyo ataaga mashindano mapema b’se sipo kulea ujinga na wajinga. Discipline iendane na uwajibikaji Zemanda ww mbona bichwa lako gumu kuelewa??
Kwan umeambia hii ni assignment kwamba ina deadline lazima niijibu au kuiandika as per a certain date? [emoji848]Aiseee yani wewe kila siku unaingia jf na unaona comments kwenye huu uzi wako unaziacha halafu leo ndio unaibuka na quotes mia kidogo na unategemea nikujibu, im sorry bro sina muda wa kusoma wala kujibu comments zako zote hizo kwa sababu najua hata nikisoma hakuna kipya nitakachokuta umeandika, au pengine nitakuta umeongelea ambayo tayari nimeshawafafanulia wenzio niliokuwa najadiliana nao humu kwahiyo badala ya kunirudisha nyuma endelea tu kusoma hadi mwisho wa huu uzi unaweza ukapata majibu
Kwenda zako ni wapi nimejitambulisha kama mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na uulizaji wako wa “kwanini chakula knachelewa?” km unafoka na kumsimanga unafikiri atakuheshimu?? Chakula kimechelewa mfate jikoni babe wako umuulize kwa mahaba na upendo tena ikiwezekana msaidie kumsogezea mwiko awahi kupika, ebu onyesha ushirikiano km mnavyopika chakula cha usiku room kwenu, halafu uone km huyo mwanamke hatokuheshimu!! Tatizo lenu mnatumia nguvu kubwa na ubabe wa kijinga kwenye vitu vidogo..!!
Utii wa mwanamke unakujaga automatically km kuna mwanaume mwenye “MAPENZI NA UWAJIBIKAJI” Zemanda unanichosha bana bichwa lako gumu, ww mkurya??
Na wewe unaamini kuwa kuna mwanaume ambaye anaishi na mwanamke kama mwanaume mwenzie, hao wanaume ulikutana nao wapi tuambie?Kwahiyo unataka kuniambia ndio umegundua leo?? Mahusiano biashara ndio ndiomana wanaume mnatulipia mahari. Hujiulizi kwanini wewe hulipiwi??
Mimi nimekwambia mwanaume ambaye sio muwajibikaji siwezi kuwa naye, huyo anakuwa hana tofauti na ke mwenzangu. Sasa mwanaume asiyewajibika kwangu nimuheshimu wa kazi gani??
Jisemee wewe binafsi na nafsi yako ila usiwasemee wenzako huku nje tunaokutana nao wanaitafuta ndoa kuliko hata kazi na wengine wapo makazini ila huwaambii kitu kuhusu ndoa wanataka hata ya bahati mbaya.Yani ww lijinga!!! Aaarrrrghhh!!
Kwa akili zako kisoda unahisi kila mwanamke ni muhitaji wa ndoa kikubwa aonekane naye kaolewa hata na kichwa maji km wewe!!? Nowadays wanawake tunafocus na kutafuta pesa sio ndoa Zemanda hilo weka akilini. Hupo km mtu anayeishi zama za kale kwanini??
Mimi kuolewa au kutokuolewa sio kipaumbele changu, siwezi kufurahisha watu nionekane nina ndoa kumbe nimejitafutia bomu la stress, hiyo kwangu hakuna.!! Nitaolewa na kuzaa pale nitakapoona mwanaume ninayemuhitaji sio kujibebea furushi.
So ni wapi umeshawahi kuona wanaume tunashauri wanawake muolewe na wanaume wajinga, wavivu, na wapumbavu? [emoji848]Narudia tena, sio kila mwanaume wa kuolewa naye. Siwezi kupanga kuolewa na mwanaume mjinga, mvivu na mpumbavu eti kisa nionekane nina ndoa, nehi nehi my friend.
Unaongelea vitu vingi kuforce wanawake waolewe na wajinga ndio ninachokiona hapa.
Hakuna ukweli hapo, hata wewe unajua kuwa mwenzako anachoongea ni hoja zinazofanania fikra zake tu na sio uhalisia.
Utii sio utumwa dada.Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yani
Ana victim mentality huyo.Mbona unataka kwenda na concepts za slavery? We're not talking about kutawaliwa in sense kuwa mwanamke anakosa uhuru! Mentality yako imebase huko. Tunaongelea maisha halisi hapa. Usianze kubadilisha dhana ambayo wote tunayo kichwani. Kama wewe ni mwanamke halisi na hau hisi kuwa protected by a man nakuhakikishia unajidnaganya mwenyewe na unataka tu kukuza ego ambayo unayo kichwani. Trust me hii kama utaiapply maishani hakuna mwanaume ambaye atakuvumilia.
Sisi hatuongei hapa kwasababu hakuna wanawake wa kuoa. Tunaongea ili kuwasaidia wale mabinti ambao hawajitambui kama akina Jadda ili at least wapate a final fighting chance.Ukweli utabaki ukweli haijalishi nani hatutaki
Hakuna mwanamke atakutii wakati huna upendo wa kweli, humtunzi, nk
Maana ukimpemda mkeo utamtinza
Simple
Haka kameshafeli. Ni swala la muda tu kaweze kuprove point.Utii sio utumwa dada.
Samahan kusema hivi lakini Unaonesha ni muhanga wa mahusiano uliyopita.
Ana victim mentality huyo.
mkuu mtaani Kuna wanawake wengi sana wanaotii kuliko anayozungumza huyo dada,
Ni kuchagua vizuri tu mwenza wa Maisha.
Kwa maneno hayo una maanisha tuoe akina Giggy money. Balaa mnalo aisee kama mnadhani tunashindana. Wanaume hatuna shida eneo la kupata wake maana tunawatengeneza wenyewe ninyi sasa kupata mwanaume ambaye ataendana na matarajio na ndoto zako ni sawa na kujipepea huku umelala chumba chenye joto kali huo usingizi utakujaje aisee.Wanawake wa sikuhizi akuheshimu kwa kipi haswa, kwanza hawana shida na wapo tayari kwa lolote mbwaimbawi ukimwaga Mboga ana mwaga ugali. Nowdays ukitaka kuishi vizuri na mke wako mfanye awe kama mshikaji kifupi usichukulie serious sana mapenzi.