Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo.
Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya ujenzi.
Tatizo ni nini? Si mseme tu kama mmeshindwa kuvaa boot za shujaa wetu mrudishe tu ada na michango mliyokuwa mnatuchangisha na kusababisha utoro mwingi mashuleni?
Mfyuuuuuuuuuu!