Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

Acha kumtaja Yesu pasipo kujua. Yesu angekuwa na roho mbaya kama yako wale waliomsurubisha msalabani angewaua wote. Unalitumia jina la Yesu pasipo kujua. Unamtumia Yesu kumlaani mtu?
Sijakulaani ila naona wewe ndiyo unataka kunilaani. Unalitumia jina la Yesu vibaya. Yesu anasisitiza upendo na msamaha.
Kama ni Yesu ndiyo unayemuabudu basi hiyo laana yako haiwezi kunipata sababu mm ndiyo namuabudu.
Kwa taatifa yako mpaka kufika hapa ni neema zake tu.
Ulipolitaja jina la Yesu nimejisikia amani sana moyoni.
YESU AKUSAMEHE MAANA HULIJUI ULITENDALO. MM NIMESHAKUSAMEHE NDUGU. UWE NA AMANI. SAMEHE 7X70
Katika jina la Yesu hiyo laana haiwezi kunirudia mimi wala chochote kinachonihusu! Narudia tena, hiyo laana haiwezi kunirudia abidani kwa damu ya Yesu, maana umei'triger' mwenyewe na sasa imeshakunasa na hutaweza kuirudisha kwa muhuri hii, labda utubuie upuuzi ulioandika mwenyewe hapo juu vinginevyo itakutafuna wewe na vizazi vyako na kila kitu kinachokuhusu katika jina la Yesu, amen!
Sina lengo la kuonewa huruma na mtu awaye yeyote, na hasa wa aina yako, namshukuru Mungu maisha nayamudu vyema.
Hapa wala silii lii kama unavyosema ila nawapelekea salamu wanaohusika (obvious ww umedandia kwa kuwa inawezekana una interest), ili watoe muelekeo kama ni kurudisha ada na irudi kama wameambua kodi zetu zifidie basi iwe hivyo, wasiwachanganye watz huku mtaani wanaopambana vilivyo na maisha yao!
Hayo ya ma'CCM' unayajua ww, mie naongelea jambo muhimu lenye kero kwa wtz waliowengi!
 
Naona limekupiga jiwe la gizani mkuu! Tafuteni namna nyingine ya kuongeza kipato I see! Masaa yote ya kawaida mpo na watoto wetu kweli hayatoshi? Mbona mnawakomaza watotot wetu ,apema hivyo!
Tena utakuta na wengine wanalazimisha mpaka na 'boarding" ebo!
If u think education is expensive try ignorance
 
seriously, unasema kuandika jaribio ubaoni ni kujitesa, na haiwezekani!? ama kweli dunia inakwenda kwa speed ya 5G!
Nikuombe unielewe, sina tatizo na kulipia elimu...ila nina tatizo ni utaratibu unaotumika wa kiholela!
weye mwl kama unajitambua na unaipenda na kuimudu kazi yako, huwezi ukasubiri kuwa shitukiza watoto wakuletee 200 kila siku kwa kazi unayoijua. Ulitakiwa ufanye upembuzi na uje na reasonable budget ya mwaka mzima, kisha muingejengee hoja na walimu wenzio ili iwe 'included' kwenye budget ya shule na iwe 'reflected' kwenye ada inayolipwa oficially! Siyo huu uhuni wa malipo yasiyo na lisit, vinginevyo waanzishe vijiwe vya tuisheni tukawalipe huko kwa njaa zao!
We jamaa ubadilike acha izi hoja zako za kitoto mazingira ya kitanzania unayajua izo pesa zinazowekwa Kama fidia ya ada hazitoshi kwaio walimu wanapojiongeza kusaidia watoto wafanye vizuri unakuja mtu Kama wewe kuleta hoja za kubomoa as if mwalimu anachukuwa iyo 200 bila kuifanyia kazi unafeli sana
 
Hoja ya kitoto ndio hiyo unayoleta ww! Kwani ni lini hela ilitosha!? Wao waganye kwa bajeti yao kwa ku 'improvise'! Kwani msingi wa kufuta ada na michango holela ilikuwa ni nini? Ninyi walimu mngekuwa na lengo zuri mngewawakirisha mapendekezo yenu kwenye mamlaka husika! Kama kweli hija zao zina mashiko ungetengenezewa utaratibu mahususi unaoratibika ili kuepuka kurejesha madhara yaleyale elimu bure iliokuwa ikiyaondoa k.m vile utoro mashuleni!
Ww unakurupuk tu huko na kudai michango kutoka kwa watoto na kuanza kuwaadhibu wasioleta kana kwamba ni wanazitafuta wao! Sasa mtoto hajapewa na mzazi na hana unamchapa ili akazitoe wapi kama siyo kuwapa msongo wa mawazo watoto usio wa lazima na kuwafundisha tabia mbaya!
Kama kuna michango au ada lazima iwekwe kwa utatatibu unaoeleweka unaoratibika na kuwa na kumbukumbu sahihi kwa aliyelipa ili zisipo kuwa na tija kama michango mingi isivyokuwa na tija basi aliyelipa awe na hoja😠!
Wazazi wanahitaji kuwekwa wazi kama elimu bure imeshindikana na kwamba ada na michango imerudi ili wajipange kibajeti ebo😠!
We jamaa ubadilike acha izi hoja zako za kitoto mazingira ya kitanzania unayajua izo pesa zinazowekwa Kama fidia ya ada hazitoshi kwaio walimu wanapojiongeza kusaidia watoto wafanye vizuri unakuja mtu Kama wewe kuleta hoja za kubomoa as if mwalimu anachukuwa iyo 200 bila kuifanyia kazi unafeli sa
 
Acha kumtaja Yesu pasipo kujua. Yesu angekuwa na roho mbaya kama yako wale waliomsurubisha msalabani angewaua wote. Unalitumia jina la Yesu pasipo kujua. Unamtumia Yesu kumlaani mtu?
Sijakulaani ila naona wewe ndiyo unataka kunilaani. Unalitumia jina la Yesu vibaya. Yesu anasisitiza upendo na msamaha.
Kama ni Yesu ndiyo unayemuabudu basi hiyo laana yako haiwezi kunipata sababu mm ndiyo namuabudu.
Kwa taatifa yako mpaka kufika hapa ni neema zake tu.
Ulipolitaja jina la Yesu nimejisikia amani sana moyoni.
YESU AKUSAMEHE MAANA HULIJUI ULITENDALO. MM NIMESHAKUSAMEHE NDUGU. UWE NA AMANI. SAMEHE 7X70
Johnny kwa kuwa umeomba msamaha na umeitaja neema hiyo kuu, basi nimekusamehe na laana hiyo iliyokuwa imekuganda ww na vizazi vyako na kila kikuhusucho naivunja kwa damu ya Yesu Kristo! Uwe na amani ya Kristo na ubarikiwe pia! Msamaha wako pia numeupokea maana mkamirifu ni Mungu tu🙏! Usirudie kuwaandikia watu hovyo bila sababu yasije yakakupata makubwa kuzidi haya,amen🙏!
 
Your hero!!! Not our hero !!! Tusheshimiane!!! Aisee!!!
Kama unafikiri elimu ni ghali jaribu ujinga!!!
Tuliza akili kabla hujarukia kujibu!
Nataka kuamini ww ni walimu, kama ndivyo acha kujificha nyuma ya michango ya kujitweza hiyo!
 
Lipa acha kulialia
Kumlupa nani kea kipi hasa mwalimu! Halafu nyie walimu unajua Mungu anawaona...eti siku hizi hamtaki watoto waje na maji kwenye vidumu, mnataka cash😀😀🤔!
 
Ndugu mimi nakuona kama mtu usiyeweza kufikiri na kutazama vitu kwa undani kama ni kinyume chake wewe ni mtu mwenye roho ya kwani.

Hebu fikiri nimetembelea shule moja ya sekondari nimeonyeshwa madarasa sita ya kidato cha kwanza yenye jumla ya wanafunzi 900. Wastani 150 kwa darasa. Wengine wako chini wengine wamekaa.

Ni mwalimu gani mwenye uwezo wa kufundisha na kutatua tatizo la uelewa la wanafunzi 150 kwa dakika themanini? Kwa msingi huu unafikiri hiyo serikali imetimiza wajibu wake wa kumwekea mazingira bora huyo mwalimu ya kufundisha? Nikiwa kama mzazi niliumia sana. Sasa mzazi wewe huoni kwamba kuna tija ya njia mbadala kusaidiwa mwanao? Bishana upendavyo ila tambua elimu bure bila serikali kuweka misingi madhubuti ni kuendelea kuhatarisha elimu ya watoto wetu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jinsi unavyoniona ww hayanuhusu mimi, na wala hakuna tija ktk hilo!
Sasa nikuulize swali dogo tu...hiyo 200 anayomdai mtoto mwalimu ktk situation uliyoshuhudia inayabadirishaje hayo mazingira ya mlundikano wa wanafunzi 150!? Kwa nini usiwekwe utaratibu unaoeleweka wa kuwahusisha wadau/wazazi +serikali ili waingilie kati kujenga madarasa na kuajiri walimu? Hiyo 200 ambayo mwalimu anaitaka hujui ndio inachelewesha ku'adress' tatizo husika?
Sijapinga michango na ada za shule...naimba unielewe ndugu, nachopinga ni utaratibu holela unaofanywa na walimu kwa visingizio uchwara hivyo!
 
Back
Top Bottom