Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

Acha kumtaja Yesu pasipo kujua. Yesu angekuwa na roho mbaya kama yako wale waliomsurubisha msalabani angewaua wote. Unalitumia jina la Yesu pasipo kujua. Unamtumia Yesu kumlaani mtu?
Sijakulaani ila naona wewe ndiyo unataka kunilaani. Unalitumia jina la Yesu vibaya. Yesu anasisitiza upendo na msamaha.
Kama ni Yesu ndiyo unayemuabudu basi hiyo laana yako haiwezi kunipata sababu mm ndiyo namuabudu.
Kwa taatifa yako mpaka kufika hapa ni neema zake tu.
Ulipolitaja jina la Yesu nimejisikia amani sana moyoni.
YESU AKUSAMEHE MAANA HULIJUI ULITENDALO. MM NIMESHAKUSAMEHE NDUGU. UWE NA AMANI. SAMEHE 7X70
 
If u think education is expensive try ignorance
 
We jamaa ubadilike acha izi hoja zako za kitoto mazingira ya kitanzania unayajua izo pesa zinazowekwa Kama fidia ya ada hazitoshi kwaio walimu wanapojiongeza kusaidia watoto wafanye vizuri unakuja mtu Kama wewe kuleta hoja za kubomoa as if mwalimu anachukuwa iyo 200 bila kuifanyia kazi unafeli sana
 
Hoja ya kitoto ndio hiyo unayoleta ww! Kwani ni lini hela ilitosha!? Wao waganye kwa bajeti yao kwa ku 'improvise'! Kwani msingi wa kufuta ada na michango holela ilikuwa ni nini? Ninyi walimu mngekuwa na lengo zuri mngewawakirisha mapendekezo yenu kwenye mamlaka husika! Kama kweli hija zao zina mashiko ungetengenezewa utaratibu mahususi unaoratibika ili kuepuka kurejesha madhara yaleyale elimu bure iliokuwa ikiyaondoa k.m vile utoro mashuleni!
Ww unakurupuk tu huko na kudai michango kutoka kwa watoto na kuanza kuwaadhibu wasioleta kana kwamba ni wanazitafuta wao! Sasa mtoto hajapewa na mzazi na hana unamchapa ili akazitoe wapi kama siyo kuwapa msongo wa mawazo watoto usio wa lazima na kuwafundisha tabia mbaya!
Kama kuna michango au ada lazima iwekwe kwa utatatibu unaoeleweka unaoratibika na kuwa na kumbukumbu sahihi kwa aliyelipa ili zisipo kuwa na tija kama michango mingi isivyokuwa na tija basi aliyelipa awe na hoja😠!
Wazazi wanahitaji kuwekwa wazi kama elimu bure imeshindikana na kwamba ada na michango imerudi ili wajipange kibajeti ebo😠!
 
Johnny kwa kuwa umeomba msamaha na umeitaja neema hiyo kuu, basi nimekusamehe na laana hiyo iliyokuwa imekuganda ww na vizazi vyako na kila kikuhusucho naivunja kwa damu ya Yesu Kristo! Uwe na amani ya Kristo na ubarikiwe pia! Msamaha wako pia numeupokea maana mkamirifu ni Mungu tu🙏! Usirudie kuwaandikia watu hovyo bila sababu yasije yakakupata makubwa kuzidi haya,amen🙏!
 
Your hero!!! Not our hero !!! Tusheshimiane!!! Aisee!!!
Kama unafikiri elimu ni ghali jaribu ujinga!!!
Tuliza akili kabla hujarukia kujibu!
Nataka kuamini ww ni walimu, kama ndivyo acha kujificha nyuma ya michango ya kujitweza hiyo!
 
Lipa acha kulialia
Kumlupa nani kea kipi hasa mwalimu! Halafu nyie walimu unajua Mungu anawaona...eti siku hizi hamtaki watoto waje na maji kwenye vidumu, mnataka cash😀😀🤔!
 
Jinsi unavyoniona ww hayanuhusu mimi, na wala hakuna tija ktk hilo!
Sasa nikuulize swali dogo tu...hiyo 200 anayomdai mtoto mwalimu ktk situation uliyoshuhudia inayabadirishaje hayo mazingira ya mlundikano wa wanafunzi 150!? Kwa nini usiwekwe utaratibu unaoeleweka wa kuwahusisha wadau/wazazi +serikali ili waingilie kati kujenga madarasa na kuajiri walimu? Hiyo 200 ambayo mwalimu anaitaka hujui ndio inachelewesha ku'adress' tatizo husika?
Sijapinga michango na ada za shule...naimba unielewe ndugu, nachopinga ni utaratibu holela unaofanywa na walimu kwa visingizio uchwara hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…