Mhondaalam
New Member
- Aug 27, 2022
- 1
- 0
Imekuwa changamoto kubwa sana kwa watoto wanao anza awali au darasa la kwanza kwa maeneo ya vijijini na hususa ni kwenye makabila yanayo dumisha zaidi Lugha mama kuliko kiswahili.
Kuna kuwa na kazi kubwa ya kumtoa mtoto kutoka lugha yake mama kwenda Kiswahili kisha kumleta katika Kingereza hapo tu inatosha kuchelewa kwa mtoto kuanza kupata maarifa kwa wakati na kusababisha zoezi zima la ufundishaji na ujifunzaji kuwa gumu na mda mwingine mtoto kushindwa kabisa kukamata lugha hizo na kuona shule ngumu kisha kuacha kabisa shule.
Hivyo basi ushauri kwa serikali yetu ingejitahidi sana kuhakikisha wataalamu kwa maana ya walimu waliofuzu masomo yao wanapo omba kazi kuzingatia eneo ambalo ametoka na kuhakikisha anapangwa huko kwao hata kama siyo kwao kabisa basi iwe kwenye Kabila lake.
Hii itasaidia watoto kuweza kuelewa kwa haraka kwa kuwa yeye na mwalimu wake wote wanauzoefu wa lugha yao mama, Mwalimu inakuwa rahisi sana kumvuta mtoto huyo kutoka lugha ya asili kuja Kiswahili na kufanya zoezi zima la ufundishaji na ujifunzaji kuwa na ufanisi mkubwa sana na kwa wakati mfupi.

Upvote
0