Utoaji wa mimba ni uuaji na dhambi

Utoaji wa mimba ni uuaji na dhambi

Kifo ni laana na matokeo ya uasi Kwa Mungu, kifo ni kutenganishwa na Mungu milele, lakini Yesu alikuja Ili tupate kuishi milele.

Yeye kifo hakikuweza kumzuia
Huna uthibitisho wa unacho kiongea zaidi ya maneno ya kiimani tu ambayo kila maelfu ya dini na imani wana maneno yao ya kiimani kama wewe tu ,ambayo pia yanapingana na yako.
 
Una uhakika?Soma tena utaona aliyeagizwa aende vitani akalete govi za wafilisti mia mbili ni yupi!Soma tena.

Zamani kîla Mwanaume alikuwa anafundishwa kupigana na kama hajafundishwa Basi anajifunza mwenyewe lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Askari.

Wewe ûkienda chuo cha kujifunza mapigano haikufanyi wewe úwe Askari.
 
Sio biblia tu huwa nasoma vitabu vingi tu , na vyote ninavichukulia vipo sawa tu , ila biblia nimeiweka kwenye kundi la vitabu vya masimulizi ya hadithi.
Nadhani haina madhara yoyote kwako kuwa na mawazo hayo.Simamia ukionacho kipo sawa kimtazamo.
 
Back
Top Bottom