min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sawa mpendwa katika bwana , ila hakuna kitu utaaniambia kuhusu huo uwongo.Hapana lakini nakuambia kua jipe nafasi ya kujifunza ndugu yangu. Kua na maswali mengi juu ya Mungu ni vizuri maana hata yeye anataka tumjue na tumuelewe na tuwe na uhusiano nae, hivyo jipe nafasi. Usifunge kurasa Kwa kumkejeli. Kuna kesho