min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hakuna mwenye ukwel kwa sababu dini imetoa hadithi zake kwenye misingi ya kuziamini tu , bila kutumia akili wala kuhoji , shida inakuja pale anapotokea mtu anataka kusema ni kweli kabisa lazima atoe uthibitisho.Hapo ni kutojipa jukumu la kujichosha ili uupate ukweli uutakao.Kwa nini kila siku uwe wa kuhitaji wengine tu wakupe majawabu?Na cha kufurahisha,unatoa maswali ya kuongoza unapotaka jibu litokee.Hakuna majibu mepesi kwa maswali yenye mchanganyiko wa mitazamo.