Utoaji wa mimba ni uuaji na dhambi

Utoaji wa mimba ni uuaji na dhambi

Sasa ukiulizwa Mtoto aliyechukuliwa anamakosa gàni utaweza kueleza?

Kosa Afanye Daudi alafu Mtoto adhulumiwe Haki yake ya kuishi?

Biblia hiyohiyo inasema Mtoto hatachukua uovu wa Mzazi wake Wala Mzazi hatachukua uovu wa Mtoto wake.

Hao wanaopinga Biblia wanahoja kûbwa Sana.
Kwa sababu double standards ndîo unafiki wenyewe
Mungu hutoa na huchukua, yeye ndie mwenye mamlaka yote, Sovereign God. Lolote atakalo anaweza kufanya na hakuna mwenye haki hata mmoja awezae kuzielewa njia zake Wala kuhoji.
 
Umechukua neno Moja, wewe una concept ya Biblia na ni nzuri Cha msingi sasa soma uongeze uelewa mzuri na umjue Mungu. Soma Genesis kwanza uanze kumjua Mungu baba, Mwana na Roho wote walifanya kazi ya Uumbaji.

Iyo story ni ya kitabu Cha Kumbukumbu ya Torati 5:9 na ni kuhusu baraka na laana walizotamkiwa wakimfata Mungu au kumuasi. Soma vizuri
Sasa ukiulizwa Mtoto aliyechukuliwa anamakosa gàni utaweza kueleza?

Kosa Afanye Daudi alafu Mtoto adhulumiwe Haki yake ya kuishi?

Biblia hiyohiyo inasema Mtoto hatachukua uovu wa Mzazi wake Wala Mzazi hatachukua uovu wa Mtoto wake.

Hao wanaopinga Biblia wanahoja kûbwa Sana.
Kwa sababu double standards ndîo unafiki wenyewe
 
Wa taifa/nchi yake.

Daudi hakuwahi kuwa Askari wa nchi yake Mkûu.
CV Yake inaanza kama Mtoto WA Yese, Kisha Mchungaji wa mifugo ya Babaake, Kisha Shujaa aliyemuua Goliathi, Kisha Mwanamuziki WA Ikulu ya Mfalme Sauli,
Kisha mpiganaji anayejiandaa kuwa Mfalme akimkimbia Mfalme Sauli.

Daudi Hajawahi kuwa Askari
 
Kuua NI Kuua Mkûu.
Alafu zîpo Sheria za Kuua Mtu lakini yeye hakuzizingatia Sana isipokuwa Kwa aina fulanifulani ya Watu aliowaona wapakwa mafuta.

Kama Kuua kwake kungekuwa Kwa Haki Mungu angemruhusu Kujenga Hekalu
Mungu wa kwenye hizo hadithi ni muuaji hilo wala halina ubishi , na anavyojinadi ana upendo sio kweli .

Kuna ile akafanya Moyo wa farao kua mgumu ili avimbe yeye ni mwamba😁
 
😁😁😁Unanitishia?
Hapana lakini nakuambia kua jipe nafasi ya kujifunza ndugu yangu. Kua na maswali mengi juu ya Mungu ni vizuri maana hata yeye anataka tumjue na tumuelewe na tuwe na uhusiano nae, hivyo jipe nafasi. Usifunge kurasa Kwa kumkejeli. Kuna kesho
 
Kuua NI Kuua Mkûu.
Alafu zîpo Sheria za Kuua Mtu lakini yeye hakuzizingatia Sana isipokuwa Kwa aina fulanifulani ya Watu aliowaona wapakwa mafuta.

Kama Kuua kwake kungekuwa Kwa Haki Mungu angemruhusu Kujenga Hekalu
Kuua ni kutoa uhai.Sahihi.Askari anayeua maadui zake vitani na jambazi/wagombanao kuua ni mambo tofauti kabisa.Dhamira,eneo,matarajio/matokeo hutofautiana kutoka kwa mmoja hadi mwingine.
 
Mungu hutoa na huchukua, yeye ndie mwenye mamlaka yote, Sovereign God. Lolote atakalo anaweza kufanya na hakuna mwenye haki hata mmoja awezae kuzielewa njia zake Wala kuhoji.

Kwa hîyo Mtu akija akataka Kukuua akisema ametumwa na Mungu anakuwa yupo Sahihi?

Au Unamaanisha Kibwetere na Mackenzie WA Kenya walikuwa Sahihi Kuua au kusababisha Mauaji ya Watu?
 
Kuua ni kutoa uhai.Sahihi.Askari anayeua maadui zake vitani na jambazi/wagombanao kuua ni mambo tofauti kabisa.Dhamira,eneo,matarajio/matokeo hutofautiana kutoka kwa mmoja hadi mwingine.
Kwa hiyo Mungu muweza wa yote mwenye upendo, alishindwa kuwabadilisha sodoma na gomora akaona awatie kibiriti kwa jazba?
 
Alikuwa Askari wa Nani?
Daudi baada ya kumuua Goliati alikua karibu na Mfalme Saul, na baada ya kukimbia Ikulu alikua na jeshi lake ambalo Kwa muda liliongezeka sana hata kua watu zaidi ya 600. Kumbuka hata kabla ya kua mfalme alikua akiwaua wafilistine Kwa miaka mingi. Ndie mfalme Mungu anamuelezea alikua akiukimblilia Moyo wake. Alitanua mipaka ya nchi ya israel sana kama ambavyo Mungu alimuahidi Ibrahimu, Daudi alimtii Mungu na Mungu Alimfanikisha katika vita vyake
 
Daudi hakuwahi kuwa Askari wa nchi yake Mkûu.
CV Yake inaanza kama Mtoto WA Yese, Kisha Mchungaji wa mifugo ya Babaake, Kisha Shujaa aliyemuua Goliathi, Kisha Mwanamuziki WA Ikulu ya Mfalme Sauli,
Kisha mpiganaji anayejiandaa kuwa Mfalme akimkimbia Mfalme Sauli.

Daudi Hajawahi kuwa Askari
Basi,kumbe haujaimaliza simulizi yake hadi mwisho.Endelea kusomasoma mbele hadi utasoma amekua mfalme,baba wa familia,amiri jeshi mkuu na mtumishi wa BWANA.
 
Back
Top Bottom