Haujasoma Biblia na kuelewa, una chukua neno Moja na kufunga kitabu, usibaki kua kipofu. Hukumu ya Dhambi zamani ilikua ni kifo, kabla ya ujio wa Yesu, Wal watu ambao Mungu aliagiza Kila kitu kiuliwe walikua Wana tambika Kwa miungu yao Kwa kuwachoma watoto wao moto wakiwa hai, waliwachuna watu ngozi wakiwa hai na mambo mengi ya kinyama. Mungu hulipiza kisasi mpaka Kizazi Cha nne. Si Kwa hao tu, hata Kwa watoo wa Saul na wajukuu waliuliwa wote Kwa mauaji ya baba Yao alivyowaua makuhani miaka iyo.
Yesu alipokuja alitutoa katika laana za familia na hukumu za namna iyo.