Huna uthibitisho wa unacho kiongea zaidi ya maneno ya kiimani tu ambayo kila maelfu ya dini na imani wana maneno yao ya kiimani kama wewe tu ,ambayo pia yanapingana na yako.Kifo ni laana na matokeo ya uasi Kwa Mungu, kifo ni kutenganishwa na Mungu milele, lakini Yesu alikuja Ili tupate kuishi milele.
Yeye kifo hakikuweza kumzuia
Una uhakika?Soma tena utaona aliyeagizwa aende vitani akalete govi za wafilisti mia mbili ni yupi!Soma tena.Daudi hakuwahi kuwa Askari.
NI kama Ibrahim, Yakobo na Esau.
Maaskari kwèñye Biblia waliowahi kuripotiwa ni Musa
Kufikiri jambo fulani limetokea kwa sababu ya adhabu ya Mungu ,ni maneno ya kiimani tu yasiyo na uthibitisho wowote.Bado haujasoma ukaelewa mkuu.Umeenda mbele ukarudi nyuma.Adhabu zipo tu hadi leo hii.
Hata ya kwenye biblia nayo hauyaamini?Kufikiri jambo fulani limetokea kwa sababu ya adhabu ya Mungu ,ni maneno ya kiimani tu yasiyo na uthibitisho wowote.
Una uhakika?Soma tena utaona aliyeagizwa aende vitani akalete govi za wafilisti mia mbili ni yupi!Soma tena.
Hicho nikitabu kilicho andikwa na watu tu, kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembeHata ya kwenye biblia nayo hauyaamini?
Cha ajabu kila cha Ngoswe ukawa haulali bila kukariri mistari yake ili ufanyie mitihani.Hicho nikitabu kilicho andikwa na watu tu, kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Haimaanishi kwamba ngoswe na mazoea ni watu halisiCha ajabu kila cha Ngoswe ukawa haulali bila kukariri mistari yake ili ufanyie mitihani.
Kwa hiyo ulikariri watu na vitu ambavyo havipo?Maisha ya kufikirika na hadithi ya kutunga ili ujikwamue kimaisha,sahihi?Tuanzie hapo.Haimaanishi kwamba ngoswe na mazoea ni watu halisi
Huwa nasoma hata mawazo ya watu humu na yananisaidia kimaisha .Kwa hiyo ulikariri watu na vitu ambavyo havipo?Maisha ya kufikirika na hadithi ya kutunga ili ujikwamue kimaisha,sahihi?Tuanzie hapo.
Lakini ya biblia hayajawahi kukusaidia?Huwa nasoma hata mawazo ya watu humu na yananisaidia kimaisha .
Sio biblia tu huwa nasoma vitabu vingi tu , na vyote ninavichukulia vipo sawa tu , ila biblia nimeiweka kwenye kundi la vitabu vya masimulizi ya hadithi.Lakini ya biblia hayajawahi kukusaidia?
Nadhani haina madhara yoyote kwako kuwa na mawazo hayo.Simamia ukionacho kipo sawa kimtazamo.Sio biblia tu huwa nasoma vitabu vingi tu , na vyote ninavichukulia vipo sawa tu , ila biblia nimeiweka kwenye kundi la vitabu vya masimulizi ya hadithi.