Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

Kazi gani? Ngazi ya mshahara ni moja ila marupurupu na maslahi yapo sana Wizarani kuliko huko Halmashauri.

Nilifanya Halmashauri kabla ya kuhamia kwenye taasisi so najua uhalisia.
Taasisi najua zipo safi kabisa. Namanisha wizarani kwa afisa wa degree
 
Nenda Wizarani mkuu.Huko Halmashauri majungu ni mengi kuliko utaalamu labda hiyo halmashauri wazazi au walezi wako wawe na jina mtambuka. To work with Local Authority you must be local.
Kwa sisi ngozi nyeusi usimpotoshe kijana, majungu yapo kila mahali. Nimefanya LGA na sasa nipo kwenye taasisi/Mamlaka moja ya Wizara mambo ni yale yale.

Ni vyema aende Wizarani japo nijuavyo mishahara ya wizara na LGA ni sawa kwa ngazi zote.
 
Mishahara ya halmshauri na wizara ni mbingu na ardhi ....Wizara zenye pesa ni hizi; wizara ya fedha , Nishati , uchukuzi na mawasiliano .

Wizarani ni kuzuri mara 10 ya halmashauri , ukiona mishahara yenu inafanana na halmashauri basi tambua kuna watu wana roho mbaya haopo kwenu .
 
Japo mishahara ni ile ile ila fursa nyingine kufanya kazi wizarani unakuwa na fursa ya kukutana na katibu mkuu wa wizara na waziri wa wizara almost kila siku kwahyo unazungukwa na watu wakubwa pia training ninyingi tena za nje ya nchi tofauti na Local Government.
 
Mkuu watu wanaongelea wizarani sio taasisi/shirika/wakala zilizopo chini ya wizara, TCRA ni taasisi inayojitegemea.
Hizo taasisi zipo chini ya wizara ....Unaijua timu ya wizara ya uchukuzi !?

Basi inajengwa na taasisi zote pamoja na wafanyakazi wa makao makuu ya wizara, timu ya uchukuzi ina wachezaji wa TRC,LATRA,TPA, TCAA, TAA , TASAC pamoja na wafanyakazi wa wizarani kabisa .

Kuna bonanza la wizara ya uchukuzi pia hizo taasisi zote zinaingia ..Taasisi ndio wizara yenyewe sasa .
 
Okay
 
Japo mishahara ni ile ile ila fursa nyingine kufanya kazi wizarani unakuwa na fursa ya kukutana na katibu mkuu wa wizara na waziri wa wizara almost kila siku kwahyo unazungukwa na watu wakubwa pia training ninyingi tena za nje ya nchi tofauti na Local Government.
Sahihi kabisa
 
Kuna watu wanakuwa kama companion kila wazri wa wizara anapoenda yupo , yaani jamaa hawana kazi zaidi ya kuambatanana na waziri wanapiga sana pesa za per diem ....Iwe waziri au naibu waziri wanaambatana nae kwenye ziara.
 
Back
Top Bottom