Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
Wizarani wana mishahara mirefu tofauti na halmashauri , zipo wizara graduate wa degree anapokea mpaka milion 4 ...Halmashauri hata mkurugunzi hakuti .
Tofautisha mwajiriwa wa wizara na mwajiriwa wa taasisi iliyo chini ya wizara. Mishahara ya watumishi walioajiriwa na wizara (Boss: Katibu Mkuu) na Halmashauri (Boss: Mkurugenzi) ni sawa sawa kabisa. Tofauti inakuja kwenye mambo mengine