Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Nasikitika ku confirm ujielewi
Yes, vp ww usie jua ukiwa kwenye taasisi uko chini ya wizara š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, vp ww usie jua ukiwa kwenye taasisi uko chini ya wizara š¤£
Ww unaejielewa uko wap kwa sasa šNasikitika ku confirm ujielewi
Weeeh hakuna hiyo wizara!Wizarani wana mishahara mirefu tofauti na halmashauri , zipo wizara graduate wa degree anapokea mpaka milion 4 ...Halmashauri hata mkurugunzi hakuti .
Wanazalisha kupitia ada na tozo mbali mbali.Wizarani majanga ni yale yale tu japokuwa kuna utofauti na halmashauri, wizara nyingi posho za safari full kukopwa na kuingizwa katika mfumo wa madeni.
Ukitaka kupiga hela hamia Regulatory Authority yeyote huko mshahara mkubwa na safari hukopwi.
Wengine wana mpaka hela ya usafiri alaf useme tupo sawa.
Mwenzako akiajiriwa miaka miwili tu huko Regulatory Authority sio mwenzako.
Cha kushangaza Regulatory Authorities hawazalishi kazi zao kudhibiti huduma ila wana mtonyo mrefu.....
Kwa namna hiyo ni sawa, lakini kutoa huduma mfano kuwa na mradi wanaoutekeleza moja kwa moja , wao wanakuwa wadhibiti kama refa anapokuwepo uwanjani kuwadhibiti wachezaji.Wanazalisha kupitia ada na tozo mbali mbali.
Mfano pale TBS wanakusanya sana ada mbali mbali hata zile za kukagua magari.
Wizarani pako vizuri Local government na central government njaa tupu ni kula vumbi tu,kuna jamaa yetu amepata kazi wizara ya kilimo anakula 1.8m ndio ameanza kazi ujue.