Utofauti kwenye ushabiki kati ya Yanga na Simba ni mkubwa sana

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho

20230908_090315.jpg
20230908_090319.jpg
 
Labda kama HUNA AKILI TIMAMU NDIO UFANANISHE SIMBA NA YANGA.

NAONGELEA MAMBO YA JANA TU.

1. Simba iMeanzisha Simba day na INAJAZAA LIUWANJA KILA SIKU

2. Simba iMeanzisha UWEKEZAJI na MABADIRIKO.
Ni timu ya Nane 8 kwa UBORA AFRIKA.

3. Simba Kila siku inafika Robo FAINALI CAF CL yanga mala ya mwisho kucheza MAKUNDI ni Mwaka 1998.

4. JUZI tu kwenye nani zaidi Simba ilikusanya Fedha nyingi zaidi ya yanga.

5. Simba inacheza Africa Football league.
SUPER CUP.

UTAKUWA TAHIRA KUMFANANISHA SIMBA NA YANGA
 
Lakini ujue hata Simba imeanzishwa na Yanga.
 
ITAKUWA HAUNA AKILI TIMAMU KUILINGANISHA YANGA NA VILABU VINGINE KAMA SIMBA

1. Yanga ndiyo timu BABA ndiyo timu kongwe zaidi.Ilianzishwa mwaka 1930 wakati ambapo Simba haikuwa imezaliwa

2. Yanga Ndiyo timu yenye mafanikio mengi na makubwa zaidi kuliko timu yoyote hapa nchini.Yanga imetwaa ubingwa ligi kuu (Ligi ya 5 kwa ubora Afrika) mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote, huku anayemfuatia ameachwa mbali sana

3. Yanga Ndiyo timu pekee nchini na Afrika mashariki kiujumla kuwahi kutinga hatua ya fainali katika moja ya mashindano makubwa zaidi barani Afrika.Hakuna timu yoyote hapa nchini iliyowahi kufikia hatua hiyo.

4. Yanga ndiyo club yenye matawi mengi zaidi mpaka nje ya nchi. Hata ukienda Lubumbashi huko Kongo utakuta tawi la Yanga.

5. Yanga ndiye club ya kwanza kuongozwa katika mfumo thabiti na wa kisasa zaidi wa uongozi (Rais wa club).Mfumo unaotumika na vilabu vikubwa ulimwenguni kama PSG, Lyon n.k

6. Yanga ndiyo timu pekee yenye medali na makombe mengi zaidi.Hii ni kutokana na kushiriki na kushinda ligi mbalimbali kuanzia CAF, Ligi kuu, Ngao ya jamii, FA n.k Hakuna timu yoyote nchini yenye medali za CAF na idadi kubwa ya makombe kama Yanga.

NADHANI UTAKUWA TAHIRA KUMFANANISHA YANGA na vilabu vingine
 
Simba ilipoidhalilisha Mufulira Wanderers mbele ya Rais Kenneth Kaunda ilikuwa imeambatana na Mashariki wangapi? Simba ni mnyama anayejiamini hata akiwa peke yake.
 
Back
Top Bottom