Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
- Thread starter
- #41
YANGA TAYARI WAMESHAJAZA MABUS 26 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] UPANDE WA PILI BADO WANAANGAIKA NA BUS LA PILI BADO HALIJAJAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivoanza tu na timu Baba nikaacha huu uandishi wakoITAKUWA HAUNA AKILI TIMAMU KUILINGANISHA YANGA NA VILABU VINGINE KAMA SIMBA
1. Yanga ndiyo timu BABA ndiyo timu kongwe zaidi.Ilianzishwa mwaka 1930 wakati ambapo Simba haikuwa imezaliwa
2. Yanga Ndiyo timu yenye mafanikio mengi na makubwa zaidi kuliko timu yoyote hapa nchini.Yanga imetwaa ubingwa ligi kuu (Ligi ya 5 kwa ubora Afrika) mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote, huku anayemfuatia ameachwa mbali sana
3. Yanga Ndiyo timu pekee nchini na Afrika mashariki kiujumla kuwahi kutinga hatua ya fainali katika moja ya mashindano makubwa zaidi barani Afrika.Hakuna timu yoyote hapa nchini iliyowahi kufikia hatua hiyo.
4. Yanga ndiyo club yenye matawi mengi zaidi mpaka nje ya nchi. Hata ukienda Lubumbashi huko Kongo utakuta tawi la Yanga.
5. Yanga ndiye club ya kwanza kuongozwa katika mfumo thabiti na wa kisasa zaidi wa uongozi (Rais wa club).Mfumo unaotumika na vilabu vikubwa ulimwenguni kama PSG, Lyon n.k
6. Yanga ndiyo timu pekee yenye medali na makombe mengi zaidi.Hii ni kutokana na kushiriki na kushinda ligi mbalimbali kuanzia CAF, Ligi kuu, Ngao ya jamii, FA n.k Hakuna timu yoyote nchini yenye medali za CAF na idadi kubwa ya makombe kama Yanga.
NADHANI UTAKUWA TAHIRA KUMFANANISHA YANGA na vilabu vingine
Vipi, ulitaka nianze na timu dada?Ulivoanza tu na timu Baba nikaacha huu uandishi wako
MbumbumbuKweli wenye akili ni wawili tu ...