Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Yeah kuna makundi yanatokea Mwanza nadhani hata Kahama pia wapoKuna wanaotokea tunduma na kahama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kuna makundi yanatokea Mwanza nadhani hata Kahama pia wapoKuna wanaotokea tunduma na kahama?
Kwa jinsi Simba inacheza ni ngumu kufika makundi klabu bingwa Africa msimu huu! Save my comment!Yeah, hakuna haja ya kuua sisimizi kwa rungu. Power Dynamos wanakufa kirahisi tu
Na vipi kuhusu kujaza uwanjaSafari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
View attachment 2742911View attachment 2742912
-Super cupLabda kama HUNA AKILI TIMAMU NDIO UFANANISHE SIMBA NA YANGA.
NAONGELEA MAMBO YA JANA TU.
1. Simba iMeanzisha Simba day na INAJAZAA LIUWANJA KILA SIKU
2. Simba iMeanzisha UWEKEZAJI na MABADIRIKO.
Ni timu ya Nane 8 kwa UBORA AFRIKA.
3. Simba Kila siku inafika Robo FAINALI CAF CL yanga mala ya mwisho kucheza MAKUNDI ni Mwaka 1998.
4. JUZI tu kwenye nani zaidi Simba ilikusanya Fedha nyingi zaidi ya yanga.
5. Simba inacheza Africa Football league.
SUPER CUP.
UTAKUWA TAHIRA KUMFANANISHA SIMBA NA YANGA
Swali la kipuuzi kutoka kwa mtu mzima!!
Simba ni mnyama anayejiamini hata akiwa peke yake.[emoji419][emoji375]Simba ilipoidhalilisha Mufulira Wanderers mbele ya Rais Kenneth Kaunda ilikuwa imeambatana na Mashariki wangapi? Simba ni mnyama anayejiamini hata akiwa peke yake.
Simba iMeanzisha Simba day na INAJAZAA LIUWANJA KILA SIKU[emoji419][emoji375]Labda kama HUNA AKILI TIMAMU NDIO UFANANISHE SIMBA NA YANGA.
NAONGELEA MAMBO YA JANA TU.
1. Simba iMeanzisha Simba day na INAJAZAA LIUWANJA KILA SIKU
2. Simba iMeanzisha UWEKEZAJI na MABADIRIKO.
Ni timu ya Nane 8 kwa UBORA AFRIKA.
3. Simba Kila siku inafika Robo FAINALI CAF CL yanga mala ya mwisho kucheza MAKUNDI ni Mwaka 1998.
4. JUZI tu kwenye nani zaidi Simba ilikusanya Fedha nyingi zaidi ya yanga.
5. Simba inacheza Africa Football league.
SUPER CUP.
UTAKUWA TAHIRA KUMFANANISHA SIMBA NA YANGA
Wengi wa mashabiki wa Simba walishazoea vitu rahisi. Wewe Simba Day 5000/= leo uwaambie waende Zambia kutizama timu wakati wakiwa apa wataiona timu yao kwa 3000/=Kutoka Tanzania mpaka kigali nauli bei gani
Na kutoka Tanzania mpaka lusaka nauli bei gani
Tuanzie hapo kwanza.
Sisi huku mtaani yanga akicheza kiingilio 1500 simba kiingilio 500 , na yanga akicheza utakuta mashabiki wa simba ndo wanawai kujaa bandaniWengi wa mashabiki wa Simba walishazoea vitu rahisi. Wewe Simba Day 5000/= leo uwaambie waende Zambia kutizama timu wakati wakiwa apa wataiona timu yao kwa 3000/=
Na walivyo wa ajabu wanataka wapate raha kama za Yanga[emoji3][emoji3][emoji3]
Kiwango chao cha viingilio vya mechi zao ni sawa na aina ya soka lao.
Kwa sasa Starehe wanayo pata Yanga ata kiingilio kikiwa 10,000/= japo haki kidhi thamani ya soka linalopigwa pale uwanjani na wananchi ila kwa kuanzia si haba.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kiketwe na Sunday ManaraKweli wenye akili ni wawili tu ...
Basi tuseme Yanga ni kubwa jingaLakini ujue hata Simba imeanzishwa na Yanga.
![]()
Historia ya Yanga na mgogoro uliopeleka Simba kuanzishwa - clickHabari
kuanzishwaHistoria ya Klabu ya Yanga inatokea tangu enzi za miaka ya 1910, ingawaje historia kamili ilianza kuandikwa mwaka 1935. Klabu hiyo ilitokana na desturi ya vijana wa Dar es salaam waliokuwa wakikutana viwanja vya jangwani kufanya mazoezi na baada ya muda wakaamua kuunda timu yao...clickhabari.com
Sawa. Lakini watacheza African Footbal League, au nayo ngumu kufika?Kwa jinsi Simba inacheza ni ngumu kufika makundi klabu bingwa Africa msimu huu! Save my comment!
Mambo yakiwa hivyo basi nasi tuseme Simba ni Dogo bwege.Basi tuseme Yanga ni kubwa jinga
KwaniniSimba ilikua na mpango wa kuondoka na basi moja tuu kwa ajili ya mashabiki, hata hilo la pili lilikua ni ombi kutoka kwa mashabiki wenyewe
Vitu vingine Ni mipango siyo ushabiki.Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
View attachment 2742911View attachment 2742912