Ila wabongo kwa ubinafsi ni kwamba aliye kwenye advantaged position anachoweza kukufanyia ni kejeli tu 🤣!Roho mbaya ni pamoja na kufurahia ubaguzi wa mishahara unaofanya wengine waishi kama wafalme na wengine waishe kama vijakazi wa mfalme ili hali wote wana elimu inayofanana.
Utamjua tu, kukosea kwake kuchagua kazi anaona ni kosa la watu wanafanya kazi kwenye taasisi zinazolipa vizuriMtu mbinafsi utamjua tu [emoji23]!!!
Halmashauri ni kubovu sana ndio maana watu wanazikimbia kazi za serikali. Kuna watu wanamenya jamani..imagine unakunja 5M una credibility ya kukopesheka.Kuna siku nimetamani kulia aisee. Nipo na kadegree kangu niko halmashauri XYZ nawasiliana na jamaa angu yupo TAWA ananiuliza je una mpango gani nijikwamue kutoka kwenye ka mshahara haka kadogo nilikonako. Nikamwambia nataka mwaka huu nikasome masters aisee ili nione kama nitapata promoshen ya cheo na mshahara pia ili niweze kuwa na take home ya laki 9plus.
Jamaaa akanichekaa sanaa. Akanambia huko kwenye halmashaur mwenye masters anafukuzia take home ya laki 9 wakati sisi huku kwenye mamlaka au mashirika ya umma mwenye masters anakuja 5M.
Nilichoka aiseeeee
Brother classes never end. Na kupanga ni kuchagua [emoji3]Ila wabongo kwa ubinafsi ni kwamba aliye kwenye advantaged position anachoweza kukufanyia ni kejeli tu [emoji1787]!
Ni busara hata kukaa kimya tu maana hamna la kufanyika ila atakukejeli juu!
Huu ubaguzi mbaya sana, halafu unaleta dharau kwa wale wanaolipwa mishahara kama manamba ila jamii imeridhika tu.Kuna siku nimetamani kulia aisee. Nipo na kadegree kangu niko halmashauri XYZ nawasiliana na jamaa angu yupo TAWA ananiuliza je una mpango gani nijikwamue kutoka kwenye ka mshahara haka kadogo nilikonako. Nikamwambia nataka mwaka huu nikasome masters aisee ili nione kama nitapata promoshen ya cheo na mshahara pia ili niweze kuwa na take home ya laki 9plus.
Jamaaa akanichekaa sanaa. Akanambia huko kwenye halmashaur mwenye masters anafukuzia take home ya laki 9 wakati sisi huku kwenye mamlaka au mashirika ya umma mwenye masters anakuja 5M.
Nilichoka aiseeeee
Inategemea na ulipo yaniBrother classes never end. Na kupanga ni kuchagua [emoji3]
Degree niliyosoma Mimi kunawatu wanakula tgsd, Kuna watu wanakula 1.6m na Kuna watu wanakula 3m
Kuna wenzetu walikuwa wanasoma Sana tukawakejeli Sana kwamba tutaajiriwa sawa tu mwisho wa siku Ila saiv tuko tofauti.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseeKuna mzee mmoja sasa ni mstaafu alifanya kazi nsssf tangu miaka ya 80 amekuja kustaafu miaka ya 2015 anakwambia hata naibu waziri alikuwa hamkaribii kwa mshahara. Na alikuwa hajui mshahara unatoka lini. Yy akiangalia mshahara tarehe 24 mwezi wa 5 atakuja kuangalia tena tarehe 24 mwezi wa 10 hukooooo. Hana wasi wasi bahasha za ofisini posho ndo zinaendesha familia kusomesha na kujenga. Aiseee nilichoka zaidi nakujiona sisi wa halmashauri tutaenda mbinguni kama ndo kigezo.
Uko vizuri. Salute kwako.Kwa nini huyo wa 0.9 asihamie huko wanapolipwa 2.4 ili naye awe na mshahara mkubwa?
Huyo wa 2.4 akishushwa inamsaidia mini huyo wa chini?
Hizi ndio mentality za roho mbaya ninazozizungumzia.
Kama unalipwa 0.9 na unaona haitoshi, acha kazi nenda hapo wanapolipwa 2.4...its as simple as that.
Yes inategemeana na ulipo, Ila kwangu Mimi siwezi kumuonea wivu mtu anayepata salary kubwa kuliko Mimi kwa sababu nazijua hastle za kuipata hiyo mishahara. Kwa mfano huyu wa 3m, tuliitwa watu 280 kwenye interview na anatakiwa mtu mmoja tu.Inategemea na ulipo yani
Dah hizo kazi zina changamoto sanaYes inategemeana na ulipo, Ila kwangu Mimi siwezi kumuonea wivu mtu anayepata salary kubwa kuliko Mimi kwa sababu nazijua hastle za kuipata hiyo mishahara. Kwa mfano huyu wa 3m, tuliitwa watu 280 kwenye interview na anatakiwa mtu mmoja tu.
Mkuu, hujanishawishi. Na unaweza kukuta huyo jamaa aliyeshinda hakutoa jasho hata nukta, jina lake lilikuwa limeshaandikwa nyie kwenye interview mlikwenda KUJILA tuuYes inategemeana na ulipo, Ila kwangu Mimi siwezi kumuonea wivu mtu anayepata salary kubwa kuliko Mimi kwa sababu nazijua hastle za kuipata hiyo mishahara. Kwa mfano huyu wa 3m, tuliitwa watu 280 kwenye interview na anatakiwa mtu mmoja tu.
Mwamba anayepata hapo unamuoneaje wivu ?
Yah hii itasaidia pia hata kupunguza nyodo makazini sababu wengine huona wenzao kama takataka tu sababu ya mishahara ya ajabu ajabu.Ikiwa Serikali haiwezi kuwalipa wote 2m hilo ni tatizo la serikali, mimi ningeshauri serikali itafute namna ya kufanya mishahara hiyo iwe sawa iwe ni kupandisha walingane au kushusha walingane whatever the case lakini haki iwepo.
Ni jambo la ajabu sana mmesoma wote elimu sawa, ujuzi sawa lakini mishahara tofauti katika serikali ile ile.
Hali hii inashusha morale ya kazi, inapelekea watu kutaka kuhama daily kiukweli hakuna aliyesoma alaf apate kazi kupoteza muda kila mmoja anahitaji fedha ili mambo yake yaende, nadhani serikali iwe na chombo kimoja cha kuratibu masuala ya mishahara.
Kama wewe ndio unapata 2m na mwenzio laki 9 basi kumbuka hata yeye hakusoma kupoteza muda, serikali iweke usawa kwa watu wa fani zinazofanana, ukiona unaumia hiyo ndiyo haki vumilia acha ubinafsi mzee
Yes, unakuta mmemaliza watu 100 Ila anayepata ni mmoja tu na inapita miaka kadhaa hawatangazi hiyo kazi tena. So hizo kazi zina uspecial fulani.Dah hizo kazi zina changamoto sana
Sawa ila hayo Mambo ya nyuma ya pazia hakuna anayeyajua lakini Mimi naongelea jinsi zile kazi zilivyo chache na zilivyo special kiasi kwamba hata Leo mtu akiniambia anapata mshahara 5m siwezi kuufikiria kwa sababu najua hizo kazi ni finyu Sana.Mkuu, hujanishawishi. Na unaweza kukuta huyo jamaa aliyeshinda hakutoa jasho hata nukta, jina lake lilikuwa limeshaandikwa nyie kwenye interview mlikwenda KUJILA tuu
Kiufupii Kama mtu haridhikii hukoo stoke awapishee wengine waingieee hukooTuna tatizo la kufukiria kama watanzania.
Mleta mada ameleta hoja inayotakiwa kujadiliwa lakini watu mnahamisha mada na kuanza kumshambulia.
Hii fact mbona iko wazi sana, Electrical engineer wa Halmashauri alipwe laki 9 na electrical engineer wa TBS alipwe 2m ilihali wote wamesoma taaluma moja na wameajiriwa na serikali na sisi kama watanzania bado hatuoni kuna tatizo hapo? Majibu yanatoka kwa jazba tu kama vipi nayeye aende huko TBS akapate mshahara mnono, kwahiyo halmashauri hawahitaji electrical engineer?
Ni kweli hayo majibu ni majibu sahihi kwa wasomi mlioko humu jamvini au kwakuwa mwafrika ni mbinafsi zaidi regardless anafanya nini na wapi?
Watu wanazikimbia kazi za serikali? Nchi gani hiyo?Halmashauri ni kubovu sana ndio maana watu wanazikimbia kazi za serikali. Kuna watu wanamenya jamani..imagine unakunja 5M una credibility ya kukopesheka.