Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ila wabongo kwa ubinafsi ni kwamba aliye kwenye advantaged position anachoweza kukufanyia ni kejeli tu 🤣!Roho mbaya ni pamoja na kufurahia ubaguzi wa mishahara unaofanya wengine waishi kama wafalme na wengine waishe kama vijakazi wa mfalme ili hali wote wana elimu inayofanana.
Ni busara hata kukaa kimya tu maana hamna la kufanyika ila atakukejeli juu!