Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

Yah ishu sio kupunguza mishahara, ni kustandardize ofcourse sio kila mtu atalipwa 7M! Ila complain ya watu atleast huyu wa laki 8 apewe 3M
Ishu ya kuwapandisha wa chini naiunga mkono. Ingawa sio lazima walingane na wajuu.

Ila kufikiria kuwashusha wa juu eti ILI MLINGANE ni mawazo ya kimaskini sana.
 
Ieleweke kwamba sio kulinganisha mishahara ilingane lengo ni kuharmonize. Yaan kusiwe na gaps kubwa. Imagine lab technician wa TFDA anamzidi lab techician aliepo hospital za halmashauri au lab technician aliepo vyuoni au shule za sekondari kwa gap kubwa kama mbingu na ardhi. Muhasibu aliopo treasury au bot mwenye CPA anampiga gap kubwa muhasibu aliopo kwenye mamalaka za serikalinza mitaa au wizarani.
Ndo maana kusema harmonization kulinganisha mishahara.
Swali ni kwa nn magap yawe makubwa ivo.
Viwango vya elimu sawa na pengine majukumu ya kazi day to day, week to week na month to month almost hayatofautian afu deference ya salary inapishana hadi 3M plus.

Usilopenda kufanyiwa usiwafanyiwe wenzako.
Je ingekuwaje kama watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa au serikali kuu wangekuwa wanalipwa incentives kama ivo je walioko mashirika ya umma si wangelalama.

Tujifunze historia vizuri na jinsi watu walipo anguka na kuingia machafuko. Sisi tusifanye kama wao.
Harmonization of salary is inevitable...
Umenena vyema sana.Hongera!
 
Ofisi gani wanafanya kazi kuanzia asubuhi hadi saa moja usiku bila kulipwa overtime?
Sisi hapa kwetu mpaka saa mbili usiku iyo overtime ndo wanaplus kweny msharah ndo maana ipo juu na jumamosi na jumpili pia tunapiga kazi so mtoa mada hajui kitu kwa sasa sijui overtime wanajza huko huko ndo maana pesa ipo juu
 
Now, what's the problem with her kulipwa 7m?
Sasa mimi wa Mshahara wa laki 8 kwa nini nisikaze ili na mimi siku moja niwe kwenye hilo shirika la sister ako na mimi nikunje 7m?

Kwa nini mimi niombee sister ako ashushwe ili apokee laki 8 ili tulingane? Akishushwa tukalingana, inakuwa imenisaidia vipi mimi?

Huoni kwamba the best thing ni yeye kuendelea kulipwa hiyo 7m na mimi nikaze ili siku moja na mimi niwe kwenye shirika hilo lao na mimi nikunje hiyo 7m?

Nakuuliza wewe.
Bonge la ll comment hongera sana tatizo jamaa wivu ndo unamsubua instead apambane afike hapo anataka mwenzie ashushwe
 
Bonge la ll comment hongera sana tatizo jamaa wivu ndo unamsubua instead apambane afike hapo anataka mwenzie ashushwe
Wewe na huyo unaemuunga mkono, akili yenu imrkariri kushusha mishahara na mnafikiri hio ndio maana pekee ya harmonisation ya mishahara.

Hovyo kabisa nyie watu!
 
Wewe na huyo unaemuunga mkono, akili yenu imrkariri kushusha mishahara na mnafikiri hio ndio maana pekee ya harmonisation ya mishahara.

Hovyo kabisa nyie watu!
Wewe kwenye uzi wako Sisi ndio unazungumza habari ya watu washushwe mishahara ili watu walingane na tuwe na mshahara unaolingana?

Mbona unakuwa kigeugeu tena!!!
 
Wewe kwenye uzi wako Sisi ndio unazungumza habari ya watu washushwe mishahara ili watu walingane na tuwe na mshahara unaolingana?

Mbona unakuwa kigeugeu tena!!!
Onyesha misitari/mstari niliouandika unaosema washushwe mishahara.

Someni kabla ya kuchangia.
 
Naomba nieleweke.

Naunga mkono hoja ya kupandisha mishahara watu wenye mishahara midogo.

Naamini mishahara ni lazima itofautiane hata kama level ya elimu ni sawa kulingana na sehemu mtu anapofanyia kazi, kulingana na taasisi husika inavyoweza kulipa wafanyakazi wake...sioni tatizo liko wapi hapo.

Sioni shida mimi mwenye degree kwenye taasisi A nikilipwa laki 9 halafu mwenzangu mwenye degree kama yangu kwenye taasisi B akilipwa 2.4 m. Sioni shida kabisa na wala sioni wivu as long as taasisi husika inaweza kumlipa hivyo.

Kukaa na kutamani mwenzangu mwenye 2.4 ashushwe ili tulingane au ashushwe mpaka 1.2 ili tukaribiane ni Ukichaa na ni mawazo ya kimaskini.

Mimi mwenye laki 9 nitapambana ili na mimi nipate nafasi kwenye shirika la huyo mwenzangu.(au shirika linalolipa zaidi ya hilo la mwenzangu) ili nimake more money.

Kutaka wenye mishahara mikubwa washushwe ILI MLINGANE ni mawazo ya kipumbavu na kimaskini.
 
Onyesha misitari/mstari niliouandika unaosema washushwe mishahara.

Someni kabla ya kuchangia.
Harmonization ya mshahara maana yake ni kumpandisha wa chini na kumshusha wa juu ili wakutane katikati na wawe na MSHAHARA SAWA kwa level moja ya elimu.

Hicho ndicho unachohubiri kwenye uzi wako na ndicho ninachokipinga hapa.

Ndio maana kule juu nimekuuliza... Hivi unaona shida gani wewe kuaply huko kwenye mishahara mikubwa ili uajiriwe huko na wewe upate hela nyingi? Kuliko kutamani wa juu ashuke ili mlingane!!!

Sijui kama unanielewa!!!
 
Mada yako yote haina logic.

Wewe umebase tu kwa tofauti ya mishahara baina ya taasisi mbalimbali za serikali Na wafanyakazi wa halmashauri ukilalamika kwamba fani sawa mishahara tofauti!!!? Wewe ni very selfish hicho kitu hakiwezekani

Kumbuka kuna thousands of people pia wa fani hizo ni unemployed !!! Na wana sifa zote za kuajiriwa
Wewe uajiriwe ulalamike mishahara mdogo Na ambao wana vigezo Ila unemployed wasemaje??

Au napo utaleta logic yako kuchukua graduates wote wafani husika halafu mlipwe misharaha sawa hata ambae hajaajiriwa sababu nae ana vigezo vya kuajiriwa Ila hakupata nafasi.
 
Mada yako yote haina logic.

Wewe umebase tu kwa tofauti ya mishahara baina ya taasisi mbalimbali za serikali Na wafanyakazi wa halmashauri ukilalamika kwamba fani sawa mishahara tofauti!!!? Wewe ni very selfish hicho kitu hakiwezekani

Kumbuka kuna thousands of people pia wa fani hizo ni unemployed !!! Na wana sofa zote za kuajiriwa
Wewe uajiriwe ulalamike mishahara mdogo Na ambao wana video Ila unemployed wasemaje??

Au napo utaleta logic yako kuchukua graduates wote wafani husika halafu mlipwe misharaha sawa hata ambae hajaajiriwa sababu nae ana vigezo vya kuajiriwa Ila hakupata nafasi.
Wewe una frustrations zinazokusumbua, hustahili hata kujibiwa ulichoandika.
 
0.9MX2=1.8M
0.9MX2.5=2.25M bado hajamfikia wa 2.4M

Kwamba watu wawili wanafanya kazi za serikali moja ,level ya elimu/utaalam ni ile ile. Mmoja akiwa analipwa mshahara wa watu wawili wa watu wengine Na chenji 600k. Kwako wewe roho nzuri ni 900k abaki hapo hapo na 2.4M abakie hapo hapo. Mimi nimesema 2.4 ashuke hadi 1.4M ili 0.9M apande hadi 1.4. Au mmoja 1.6M kwa 1.6. Roho mbaya ni mmoja kulipwa zaidi ya Mara mbili ya mwenzie.

NB: nimechukulia kwamba serikali inawezakataa kuongeza 0.9M afike 2.4M kwa vile itajitetea kuwa itabidi itafute itoe more money badala take izigawanye inazotoa sasa
What about watu ambao wana sifa Na hawajaajiriwa nao wanaweza leta hoja yako hii pia kwamba nao walipwe sawa Na ambao wameajiriwa Na serikali sababu wanavigezo vyote kama hao Ila hawakuapata nafasi.

Its the same silly logic kutaka mhasibu wa halmashauri alipwe sawa Na mhasibu wa BOT kisa walisoma pamoja chuo kimoja
 
Wewe una frustrations zinazokusumbua, hustahili hata kujibiwa ulichoandika.
una low comprehension ability Ku grasp point niliyo ikusudia

kutaka mhasibu wa halmashauri au bursar wa chuo kikuu alipwe mishahara sawa Na mhasibu wa BOT kisa wote wana degree ya accountancy ya udsm ni wehu

Kama unataka usawa bila kujali tija ya kazi husika basi tungelipa tu hadi wahasibu jobless kisa nao wangeweza kufanya hizo Ila hawakupata nafasi hio ndo itakuwa equality mnayoitaka lakini ni wehu huo.mishahara ni lazima itofautiane kutegemea Na unyeti,ugumu,tija Na risk za kazi husika .
 
Harmonization ya mshahara maana yake ni kumpandisha wa chini na kumshusha wa juu ili wakutane katikati na wawe na MSHAHARA SAWA kwa level moja ya elimu.

Hicho ndicho unachohubiri kwenye uzi wako na ndicho ninachokipinga hapa.

Ndio maana kule juu nimekuuliza... Hivi unaona shida gani wewe kuaply huko kwenye mishahara mikubwa ili uajiriwe huko na wewe upate hela nyingi? Kuliko kutamani wa juu ashuke ili mlingane!!!

Sijui kama unanielewa!!!
Mkuu hawa wana leta hoja za kitoto sana.kama wamechoka kazi waache tu vijana wengi sana jobless mtaani.

Wanaongea vitu ambavyo sio practical kabisa. Mishahara haiwezi fanana tu kisa mna elimu sawa au fani sawa.

Tija, ugumu, unyeti na risk ziambatanazo Na kazi husika ndovina determine mshahara.

Dereva wa rais wanataka alipwe sawa Na dereva wa halmashauri serious kabisa!!!! MTU unamuendesha the most important person katika nchi ulipwe sawa Na MTU anaendesha milingoti kuipeleka site !!!
 
Mkuu hawa wana leta hoja za kitoto sana.kama wamechoka kazi waache tu vijana wengi sana jobless mtaani.

Wanaongea vitu ambavyo sio practical kabisa. Mishahara haiwezi fanana tu kisa mana elimu sawa au fani sawa.

Tija, ugumu, unyeti na risk ziambatanazo Na kazi husika ndovina determine mshahara.

Dereva wa rais wanataka alipwe sawa Na dereva wa halmashauri serious kabisa!!!! MTU unamuendesha the most important person katika nchi ulipwe sawa Na MTU anaendesha milingoti kuipeleka site !!!
Mkuu...hili swali la dereva wa rais vs dereva wa halmashauri/tanesko hamna aliyelijibu.
Nimejaribu kulirudia tena na tena lakini halijibiki.

Wote wamelikwepa kama hawajaliona vile.
 
Back
Top Bottom