Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

 
Kawadanganye labda wajinga wenzio unatuletea picha za uongo mpuuzi kweli hizo za chini ni za reli ya zamani meter gauge. Mmekalia unafiki tuu
 
Hizi za Kenya wamenunua juzi au mana nimepanda sijaona hiko cha kwenye picha kiujumla nchi za afrika viongozi wote wanafanana akili zao wanapenda kuwafanya wananchi wao mazuzu hiyo ya Kenya Ipo kama guta tu
 
Subiri yakitulia baada ya safari ndefu utayasifu, unapoenda kupanda treni kwenda Kigoma unaonekana nadhifu, lakini ukifika Kigoma unaonekana umechakaa, ukienda kuoga ulikofikia watu watakupotea, subiri yaoshwe.
 
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
[emoji2827]
 

tumechoka sana ni vile hatuna nchi nyingine ya kwenda
 
Kaka hizo za chini ndio behewa zilizofika na ziko pale TRC malind yard sasa unakqtaa nini na ziko peupe zinaonekan na mtu yoyote
Acha upotoshaji kijana. Behewa zilizopo pale Malindi ndio hizo mleta Mada amepost hapa. Hizo ni behewa za MGR Sio SGR.

Angalia hizo behewa gurudumu zake zipo juu ya reli.. Sasa jiulize Malindi Kuna SGR? Reli ya Kisasa kuingia bandarini bado ndio ipo kwenye ujenzi tena hatua za mwanzo kabisa.

Zile behewa za SGR ziko bandarini bado... Zinatolewa kwenda marshalling Kwa gurudumu special zinazopita juu ya MGR..
 
Kama hujui kitu jinsi treini ya umeme inavyofanya kazi ni bora upite kimya kimya.
Kinachoendesha treini ni ile injini na siyo mabehewa.
Ni vizuri kusoma na kuelewa jinsi injini ya umeme inavyofanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…