Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

Nilijuuliza swali kama lako na nikajibiwa hizo behewa zina weza kupita katika njia zote mbili na nimeziona tangu zinatoka bandari mpaka zonafika pale malind isitoshe mimi niko maeneo hayo ndio maana nakuambia acha ubishi usio na maingi
Aliekwambia kakupotosha sana.

Hakuna behewa zinazoweza kupita kwenye MGR na SGR Kwa pamoja. Hicho kitu hapo. Na ndio maana Kuna hayo madaraja kuonesha utofauti. Cape gauge, Meter gauge na Standard gauge. Hizo ni rail track Tatu taofauti na Zina specifications tofauti. Haziingiliani.

Pale malindi zipo coaches za MGR. Hizo za SGR bado 12 ziko bandarini na 2 wameshazihamisha.

Wewe kuwa mazingira hayo Sio kwamba ndio utakuwa unajua kila kitu. Rudi tena kafatilie vizuri.
 
Uwapige chini kupitia ku type kwenye keybord?
Lazima kuwe na mwanzo.

Wewe hapo unahaha kusaka majina yetu halisi ili mtusake na kudisconnect roho na miili yetu

Tuache, tunajua tunachokifanya na tutafika
 
Twambie wewe unajua ilinunuliwa kwa bei gani
 
Kama aliweza kuruhusu ndege used kwa cash angeshindwaje mabehewa used kwa cash vilevile ?

Tena yeye alikwenda mbali zaidi Kwa sababu alilifanya hilo bila ya kufuata utaratibu bunge halikuidhinisha na aliehoji alitupwa ufukweni kwenye kiroba
Aliyepita na aliyepo wote ni ma-CCM
 
Kwaiyo unakubaliana na behewa moja tena mtumba kununuliwa kwa 2.5B?
 
Lazima kuwe na mwanzo.

Wewe hapo unahaha kusaka majina yetu halisi ili mtusake na kudisconnect roho na miili yetu

Tuache, tunajua tunachokifanya na tutafika
Haa haa..

Wanatafuta actual names ili wa - disconnect miili na roho zetu, siyo...?

Usiogope kwa sababu kwa sasa, they can't...!!

UKWELI siku zote uko juu ya UONGO na uongo hauwezi kuua ukweli...

Wasemakweli siku zote wako connected na KWELI na HAKI...

Wanaweza kuua miili yetu lakini kamwe hawawezi kuua roho zetu...!!
 
Wewe ni muongo. Ondoa hizo picha.
I thought ungeleta picha za "ukweli wako" ili ku - counter attack "uongo wangu"...

Lakini cha ajabu unabweka tu kama mbwa 🐶🐶🐶 kichaa...

Jenga hoja ili ushinde hoja kinzani...
 
Watajie jina lako basi😀
 
Mtoa mada acha kuwadanganya watu, picha ya juu sio mabehewa ya Kenya na mabehewa ya chini kweli ni mali ya TRC lkn ni MGR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…