Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Sasa maana sifa za Kaini zipo wazi kabisa. Vitu kama ubinafsi, husuda, wivu na chuki. Na ndo sifa kuu za watu weusi. Inabidi turudi vizuri kwenye bible tufanye tafiti usikute kule Node alikotimuliwa ndo Africa kwenyewe.Aise
Mbona kinyonge mkuu 🤣
Hilo ni tatizo la afya ya Akili mkuu, mambo ya kusema umepata ufunuo au tumekutana na yesu au Mungu hiyo ni shida.Nimepata ufunuo
Hizo n kelele na mm sitak kelele 😂Mbona kinyonge mkuu 🤣
Vipo vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wa binadamu Mungu huwafunulia wanao mwamini ili wawaeleze wengine.Hilo ni tatizo la afya ya Akili mkuu, mambo ya kusema umepata ufunuo au tumekutana na yesu au Mungu hiyo ni shida.
Mbona wakina 50 Cent mpaka leo ni weusi japo wazazi wao walihamia Marekani. Wakina Mbappe wapo Ufaransa mpaka leo wana nywele za kipilipili.Geographical location combined with level of sun rays exposure are among of key attributed factor for human difference in hair color together with skin color
Umepata ufunuo gani wakati swali la msingi tu umeshindwa kujibu? Imekuwaje Sasa tumekuwa tofauti rangi na nywele? Hiyo change imetokea wapi na lini how? Ufunuo my foot.Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa kuzaliana:
Mwanzo 1:28, Mungu aliwaambia, “Zaeni, mkaongezeke…”
Mwanzo 5:4, Adamu alikuwa na “wana na binti.”
Matendo 17:26, Mungu “alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja.”
Kwa hiyo, wazo kwamba tofauti za kimaumbile zilienea na kuonekana katika vizazi vilivyofuata kupitia urithi na kuzaliana linaweza kueleweka vizuri.
Kisayansi pia, mtoto hupokea mchanganyiko wa vinasaba kutoka kwa wazazi wake; vinasaba hivyo vinaathiri kiasi cha melanini, aina ya nywele, rangi ya macho na sifa nyingine.
Swali la kujiuliza labda Adamu na Hawa walikuwa na uwezo gani wa kijenetiki uliowezesha vizazi vyao kutoa watu wenye ngozi na nywele tofauti sana? Hapo ndipo genetics inaweza kusaidia sana kuelezea hoja hii.
Jibu lipo kwenye aya ya kwanza limeandikwa hivi:Umepata ufunuo gani wakati swali la msingi tu umeshindwa kujibu? Imekuwaje Sasa tumekuwa tofauti rangi na nywele? Hiyo change imetokea wapi na lini how? Ufunuo my foot.
Huna akili.Jibu lipo kwenye aya ya kwanza limeandikwa hivi:
Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
Basi kama hujanielewa utakua na tatizo mkuu. Mbona jibu lipo wazi kabisa.Huna akili.
Pana ukweli hapa!Waafrika wote sis ni kizazi Cha laana Cha Kaini ndo maana Kila kitu chetu cheusi. 😃
Kaini alioa kwa naniBiblia haisemi kwamba Adamu na Hawa walikuwa viongozi wa watu wengine waliokuwa tayari wameumbwa. Mwanzo 3:20 inasema Hawa alikuwa mama yao wote walio hai, na Mwanzo 5:4 inaonyesha Adamu alikuwa na wana na binti wengine ambao majina yao hayakutajwa. Kwa hiyo watu tunaowaona baadaye kwenye simulizi la Kaini wanaweza kueleweka kuwa walitokana na familia hiyo iliyokuwa imeongezeka. Wazo la kwamba kulikuwa na jamii nyingine ya watu kabla ya Adamu na Hawa linaweza kuwa tafsiri fulani, lakini Biblia yenyewe hailisemi wazi.
We ndio unatatizo tena kubwa, umeshindwa kuonesha genetic variation imetokea wapi, mchina katokea wapi, mweusi katokea wapi, unaropoka tu vitu vy kipuuzi simple simple tu. Bibilia haiwezi kulazimishiwa kueleza kila kitu sawa? Hapo hakuna kitu umefanya.Basi kama hujanielewa utakua na tatizo mkuu. Mbona jibu lipo wazi kabisa.
Hapo nilipoweka rangi nyekundu ni ushuzi tu umeandika. Hauna evidence, eti kisa wamezaliana ndio watu wawe tofauti. Mbona we vizazi vyenu havibadiliki race?Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa kuzaliana:
Mwanzo 1:28, Mungu aliwaambia, “Zaeni, mkaongezeke…”
Mwanzo 5:4, Adamu alikuwa na “wana na binti.”
Matendo 17:26, Mungu “alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja.”
Kwa hiyo, wazo kwamba tofauti za kimaumbile zilienea na kuonekana katika vizazi vilivyofuata kupitia urithi na kuzaliana linaweza kueleweka vizuri.
Kisayansi pia, mtoto hupokea mchanganyiko wa vinasaba kutoka kwa wazazi wake; vinasaba hivyo vinaathiri kiasi cha melanini, aina ya nywele, rangi ya macho na sifa nyingine.
Swali la kujiuliza labda Adamu na Hawa walikuwa na uwezo gani wa kijenetiki uliowezesha vizazi vyao kutoa watu wenye ngozi na nywele tofauti sana? Hapo ndipo genetics inaweza kusaidia sana kuelezea hoja hii.
Kivipibaada ya Adam Mungu alifanya uumbaji mara kadhaa.