Utofauti wa Rangi na Nywele za Wanadamu ulitokana na Nini? Mungu amenipa ufunuo

Sasa maana sifa za Kaini zipo wazi kabisa. Vitu kama ubinafsi, husuda, wivu na chuki. Na ndo sifa kuu za watu weusi. Inabidi turudi vizuri kwenye bible tufanye tafiti usikute kule Node alikotimuliwa ndo Africa kwenyewe.
 
Hilo ni tatizo la afya ya Akili mkuu, mambo ya kusema umepata ufunuo au tumekutana na yesu au Mungu hiyo ni shida.
Vipo vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wa binadamu Mungu huwafunulia wanao mwamini ili wawaeleze wengine.
 
Geographical location combined with level of sun rays exposure are among of key attributed factor for human difference in hair color together with skin color
 
Geographical location combined with level of sun rays exposure are among of key attributed factor for human difference in hair color together with skin color
Mbona wakina 50 Cent mpaka leo ni weusi japo wazazi wao walihamia Marekani. Wakina Mbappe wapo Ufaransa mpaka leo wana nywele za kipilipili.
 
Umepata ufunuo gani wakati swali la msingi tu umeshindwa kujibu? Imekuwaje Sasa tumekuwa tofauti rangi na nywele? Hiyo change imetokea wapi na lini how? Ufunuo my foot.
 
Umepata ufunuo gani wakati swali la msingi tu umeshindwa kujibu? Imekuwaje Sasa tumekuwa tofauti rangi na nywele? Hiyo change imetokea wapi na lini how? Ufunuo my foot.
Jibu lipo kwenye aya ya kwanza limeandikwa hivi:
Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji.
 
Kaini alioa kwa nani
 
Basi kama hujanielewa utakua na tatizo mkuu. Mbona jibu lipo wazi kabisa.
We ndio unatatizo tena kubwa, umeshindwa kuonesha genetic variation imetokea wapi, mchina katokea wapi, mweusi katokea wapi, unaropoka tu vitu vy kipuuzi simple simple tu. Bibilia haiwezi kulazimishiwa kueleza kila kitu sawa? Hapo hakuna kitu umefanya.
 
Hapo nilipoweka rangi nyekundu ni ushuzi tu umeandika. Hauna evidence, eti kisa wamezaliana ndio watu wawe tofauti. Mbona we vizazi vyenu havibadiliki race?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…