Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
@
Poor BrainDaslam wengi tunatembelea ndgu kuondoa tu zile lawama za "wewe upo hapahapa na hatuonani" ila kiukweli hamnaga ile furaha ya kweli kabisa ya kutembelea ndgu hapa mjini kwa sisi wa kuja.