MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Umesahau GeeUmeongea uhalisia mkuu... Ila niwaibie tu siri nyie watu wa mikoani, ukishaona ndugu yako wa Dar anakitoto kinaitwa Junior au Brian ukimtembelea tegemea mambo kama haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau GeeUmeongea uhalisia mkuu... Ila niwaibie tu siri nyie watu wa mikoani, ukishaona ndugu yako wa Dar anakitoto kinaitwa Junior au Brian ukimtembelea tegemea mambo kama haya.
Nenda zako, tuache Sisi ambao hatujawahi kusoma.Mimi bandiko hili nilishalisoma fb mda mrefu zaidi ya mwaka.
Yupo sahihi aisee,yaan kaandika ukweliUmeandika kitu cha muhimu sana ila madoni uchwara wa JF watapinga
✅✅✅Yupo sahihi aisee,yaan kaandika ukweli
Unajua kuna watu wanapenda kufanya maisha magumu aiseee 😀😀😀😀
Njombe ndio kama kiwakilishi cha nafsi ya tatu umoja 😀😀😀😀🙌🙌Hivi kuna uhusiano gani wa neno mkoani na Njombe.
Wengi wanaitumia sana Njombe kama mfano wa mkoani.
😆😆😆
Ahahaha unanikumbusha katoto ka single maza..Umeongea uhalisia mkuu... Ila niwaibie tu siri nyie watu wa mikoani, ukishaona ndugu yako wa Dar anakitoto kinaitwa Junior au Brian ukimtembelea tegemea mambo kama haya.
Kijijini kwenu wapi hukoSio wanakuchangamkia kisa una vichenji mkuu, nshatembelea ndgu kibao vijijini nikiwa sina kitu ila ule ukarimu wao ni wa kweli sio kuigiza, washazoea hilo. Hawataki mgeni aondoke na kinyongo.
Boyka wa vikindu acha uongo, maana huwa una enda kibabe kwao.Daslam wengi tunatembelea ndgu kuondoa tu zile lawama za "wewe upo hapahapa na hatuonani" ila kiukweli hamnaga ile furaha ya kweli kabisa ya kutembelea ndgu hapa mjini kwa sisi wa kuja.