Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

Nina chukulia mfano yaani ndio wewe wakati uho umeolewa πŸ˜‚
Ungeanza na mfano Mxieeeeww..!! 😹😹

Mimi mdogo wangu usinione humu ninavyowajibu hovyo watu, nje huku nina heshima hata shem wako nikimpa maji kwanza nayaombea, kisha napiga goti mpk amalize kunywa ndo nainuka.!! πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Basi kuna mikenge itaguna na mingine itabisha 😹🀣🀣
 
kama namuona dingi kwa mbali anachungulia mkeka wake kwenye simu yake ya smart kwa kujificha ficha vile
 
Nilichojifunza hapa ni kuji_evaluate kila baada ya kipindi flani kama mwanadamu ninayeishi. toka nje yako na ujitathmini. Mf. unachotenda kwa Mwenzi wako, watoto wako,ndg zako , marafiki zako, jirani zako na binadamu mwingine yoyote anayeishi, Mwenyezi Mungu Awabariki Sana.
 
"Wivuu Mamaa Wivuu....WivuuπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Binadamu hatukosi mapungufu

Nimefikia kwa aunty kipindi naenda shule, ananifuata sanawari mpka maji ya chai...... Nikiwa naelkea migombani ananisindikiza mpka maji ya chai Kuna siku tumeenda kaishia Moshi.... Treatment zote nilipata km mwanae

Alikuwa akija nyumbn pia tunampa mazaga zaga tunampeleka mpk kituoni tunamsubiri apande Noah yeah ndo tunarudii.....

Nishawahi kwenda kwa rafiki yangu ngarsmtoni aseeh maza ake na familia yao walinikarimu km mtoto wao na ni zaidi ya mara tatu!!

Nimekuja kwa uncle naye alinipokea vizuri πŸ‘Š Tena sana Ila mimi sikuwa nataka kukaa pale kipindi hicho Nina 19+ so nikaona nikae na bruh kuliko pale japo ushuani.....

Walivyo nikarimu nao tunawakarimu similarly japo tuna mapungufu yetu binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…