Yaan hii nyuzi kama wamenilenga mimi wakuu.
Maaana leo tu maza katoka kuniambia et mdogo ako anakuja amechoka kukaa hom hapa...
Nikaulizaa anakuja kufanyaje sasa..
Ukizingatia dogo ni bishoo na kazi hataki kufanya.
Dogo bishoo lakini anataka kula 3 times wakuu. Alafu kula kwake ni heavy weight..
Ukisema basi dogo nimekutafutia kazi ya kufanya dogo anasema anataka kazi ya kutumia akili et akae kwenye kiti.
Na hapo form 4 kazinguaa alafu anataka kazi za kukaa tu..
Sasa ili usikosane na mzazi nimetuma picha nikiwa na shangazi dorry tumelala..
Alafu nikamwambia mama mi now nina mke..
Kesi imekua kubwa yaani bora ningekubali tuu kumchukua dogo..
Life la huku tunajua wenyewe wakuu mi sishangai anavyo ishi
Manyanza na
Vishu Mtata kiuchoyo uchoyo...
Vishu hata umwambie nimekufata vingunguti atakwambia yupo mbezi..
Ukisema siku uwende mbezi atakwambia kaenda kongowe kuna kazi..
An ni kuvurugana tuu