Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

Umeongea uhalisia mkuu... Ila niwaibie tu siri nyie watu wa mikoani, ukishaona ndugu yako wa Dar anakitoto kinaitwa Junior au Brian ukimtembelea tegemea mambo kama haya.
Nimerudi home nimechil nikasema ngoja niguse jf aisee nakutana na vijana wa hovyo, hahaha nimecheka sana...nna mshikaji wangu ni baba Brian hahahaha kama kuna kaukweli fulani hivi...hahaha
 
Utofauti mwingine wa dar na mikoani ni huu.

Dar ni holiday hakuna kazi ila mikoani kazi kazi
 
Umesema ukweli kabisa ndugu, Hongera sana.
Ukisasa umetutoa nje ya mstari wa maadili na utu,tumejisahaulisha desturi na tamaduni zetu zilizokuwa na umoja na upendo,
Ni kweli tunapaswa kubadika.
 
Ukweli mtupu hongera kwa kushare huu ujumbe πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nimerudi home nimechil nikasema ngoja niguse jf aisee nakutana na vijana wa hovyo, hahaha nimecheka sana...nna mshikaji wangu ni baba Brian hahahaha kama kuna kaukweli fulani hivi...hahaha
πŸ˜‚πŸ˜‚Ndio hivyo mkuu
 
Wageni wengine wana kuja kuchunguza mnaishije na mkeo wako
Hakuna kitu kama hicho ni kuto kujihamini tu kwa wakazi wa dar hawataki jamii zao zilizopo vijijin kujua maisha yao halisi,
Uku vijiji wao hawaogopi wageni kwasababu hawaigizi maisha wanaisha maisha ya open
Uku mjini watu wanataka usili pia wanandoa kufunga ndoa wakitokea Jamii tofauti, kwahiyo ni muhimu kufunga ndoa wote mkiwa mnatoka jamii moja au Tamaduni ambazo zinaingiliana kwa asilimia kubwa, mfano Masai akiolewa na Msukuma hakuna shida kwasababu hizi jamii zinatabia za kuishi pamoja kidungu na kutembeleana na kuishi kwa ndugu, Sasa Mmasai akioa mchanga tatizo litaanza kwa ndugu wa Kimasai kwasababu wao wanaishi kwa wingi na siyo lazima wamasai wawe ndugu ata jilani anaweza kuja mjini kwa Mmasai akakaa ata miezi, Sasa kwa Wachaga hiyo tamaduni haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…