OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado.. Kumbuka mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe
Tafsfir ya kiongozi ni ipi?? Huwa unawaza kwa kichwa au tackle? Au kiongoz kwako mpk akuamrishe?Huyo naye anajisahau sana, anaposema club inaonewa hafu viongozi tupo ana maana gani?
Au kasema hivyo kwa niaba ya kiongozi mwingine maana sijajua kama usemaji siku hizi ni uongozi au ni kibarua ambacho kinaonesha unaongozwa
Na ni kweli hajafikia rank za kuitwa kiongozi wa club wakati kuna habari zinasema kapewa limit hawezi kushiriki vikao vya ndani vya club (haaminiki) sasa huo uongozi ni upo anaouzungumzia au anadhani bado yeye ni afisa habari?
Lakini pia wanafanya hii press ili ipunguze makali ya kuongelea GSM kujitoa kwenye kuzamini ligi..Hii kali.
Juzi pale EFM Radio huyu Haji alisema Yanga ni Timu kubwa haiwezi kulalamika juu ya waamuzi, wanafanya makosa ya kibinadamu.
Baada ya jana GSM kujitoa udhamini, leo mtu huyohuyo anaibuka na malalamiko ya waamuzi ambao hata kwenye mechi za Yanga waamuzi wanalalamikiwa.
Huku kuweweseka ni wazi ule udhamini ulikuwa na matunda mazuri kwa Timu.
Ni top level management... kwa hiyo huyo Zeruzeru yupo kwenye top level management ya UtopoloTafsfir ya kiongozi ni ipi?? Huwa unawaza kwa kichwa au tackle? Au kiongoz kwako mpk akuamrishe?
Mc pilipili ni msemaji, kwa hiyo huyu tumuite kiongozi?Tafsfir ya kiongozi ni ipi?? Huwa unawaza kwa kichwa au tackle? Au kiongoz kwako mpk akuamrishe?
Hiyo ndio tafsfir ya kiongozi?, Wewe unaweza ukatoka kwenye media nakusema jambo juu ya Simba then watu wakakubali??, Basi kama hujui Moja ya sifa ya kiongozi nikuwa na authority power hakusema jambo fulani kwa niaba ya taasisi na watu wakalipokea kama official statement ya taasisi.Mc pilipili ni msemaji, kwa hiyo huyu tumuite kiongozi?
Manara hawezi kuwa kiongozi kwasababu hakuna mtu mwingine ambaye yuko chini yake katika department ya usemaji
Labda kama utaniambia kama kuna katibu msemaji na manara ndio mwenyeketi wao hapo nitakubali
Ngoja kwanzaHiyo ndio tafsfir ya kiongozi?, Wewe unaweza ukatoka kwenye media nakusema jambo juu ya Simba then watu wakakubali??, Basi kama hujui Moja ya sifa ya kiongozi nikuwa na authority power hakusema jambo fulani kwa niaba ya taasisi na watu wakalipokea kama official statement ya taasisi.
Kwa hiyo Haji ni kiongozi?Tafsfir ya kiongozi ni ipi?? Huwa unawaza kwa kichwa au tackle? Au kiongoz kwako mpk akuamrishe?
Unaelawa maana ya kiongozi?Kwa hiyo Haji ni kiongozi?