Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hata Maana Ya Neno Kiongozi Unataka Tukisaidie Maana Boss Wangu?Huyo naye anajisahau sana, anaposema club inaonewa hafu viongozi tupo ana maana gani?
Au kasema hivyo kwa niaba ya kiongozi mwingine maana sijajua kama usemaji siku hizi ni uongozi au ni kibarua ambacho kinaonesha unaongozwa
Na ni kweli hajafikia rank za kuitwa kiongozi wa club wakati kuna habari zinasema kapewa limit hawezi kushiriki vikao vya ndani vya club (haaminiki) sasa huo uongozi ni upo anaouzungumzia au anadhani bado yeye ni afisa habari?