Utopolo walalamika kuonewa sana

Utopolo walalamika kuonewa sana

Huyo naye anajisahau sana, anaposema club inaonewa hafu viongozi tupo ana maana gani?

Au kasema hivyo kwa niaba ya kiongozi mwingine maana sijajua kama usemaji siku hizi ni uongozi au ni kibarua ambacho kinaonesha unaongozwa

Na ni kweli hajafikia rank za kuitwa kiongozi wa club wakati kuna habari zinasema kapewa limit hawezi kushiriki vikao vya ndani vya club (haaminiki) sasa huo uongozi ni upo anaouzungumzia au anadhani bado yeye ni afisa habari?
Msemaji si kiongozi? kweli common people have common sense.
 
Press ya jana ya GSM na ya leo Yanga muelewa utajua kabisa ile bln 2 inaelekezwa wapi,haiwezekani timu 1 match 15 penalty 8 goli za offside 7 kukataliwa magoli waliyofungwa 4,penalty waliyopewa dhidi ya prison,goli la geita lilivyokataliwa eti kapombe kasukumwa na ile offside ya kagere dhidi ya mbeya kwanza,vurugu kwenye soka letu ndio zinaanza sasa,makolo mjiandae
ugoro mtupu
 
Sasa kama wanaweza si wafanye kimya kimya press za nini sasa? Au wenzao walifanya hizo press kabla ya kupewa hizo penalty na magoli ya offside
 
Sasa kama wanaweza si wafanye kimya kimya press za nini sasa? Au wenzao walifanya hizo press kabla ya kupewa hizo penalty na magoli ya offside
Tumebalance shobo ili mambo yakianza mjue shida ilianzia wapi na ndio zile press zilipishana siku tu
 
tuliaminishwa hii uto yetu imechangamka na hakuna kulalamika tena
Labani og
Its Pancho
KAGAMEE
Ulimakafu
zipompa
changaule
Shadeeya

ABE73DCE-7A32-4EF9-81DA-D5A305FF1695.jpeg
 
Msukule ni Replacement Ya Kilo 'Mia Nane' issue zote Zinazohusu KULALAMIKA....ndo maana Mr Kilo Mia Nane hatumsikii siku hizi!!
Issue za Kipuuzi Zote Anazihandle Msukule!!
 
Lkn sio kwa kubebwa anakofanyiwa Simba. Katka mechi mbili mfululizo Simba anabebwa na Yanga anauliwa mara mbili ktk mechi moja. Na sisi tuna roho jamani daaaah
Yaani tunashangaa hii mbeleko imekuwa nene hivi.
 
Back
Top Bottom