Utopolo walalamika kuonewa sana

Msemaji si kiongozi? kweli common people have common sense.
 
ugoro mtupu
 
Sasa kama wanaweza si wafanye kimya kimya press za nini sasa? Au wenzao walifanya hizo press kabla ya kupewa hizo penalty na magoli ya offside
 
Sasa kama wanaweza si wafanye kimya kimya press za nini sasa? Au wenzao walifanya hizo press kabla ya kupewa hizo penalty na magoli ya offside
Tumebalance shobo ili mambo yakianza mjue shida ilianzia wapi na ndio zile press zilipishana siku tu
 
Msukule ni Replacement Ya Kilo 'Mia Nane' issue zote Zinazohusu KULALAMIKA....ndo maana Mr Kilo Mia Nane hatumsikii siku hizi!!
Issue za Kipuuzi Zote Anazihandle Msukule!!
 
Lkn sio kwa kubebwa anakofanyiwa Simba. Katka mechi mbili mfululizo Simba anabebwa na Yanga anauliwa mara mbili ktk mechi moja. Na sisi tuna roho jamani daaaah
Yaani tunashangaa hii mbeleko imekuwa nene hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…