Utoto bwana,acheni tu

Mi nilijuaga kila nchi ina Nyerere wake. Dot com tulieni, hapo hamuwezi kunielewa baba yenu.
 
Mi nilikua najiuliza baba haoni aibu kulala na mwanamke kitanda kimoja? ( ambaye ni mama)
Halafu nilikua najiuliza wanaooana inakuaje mpka wana ishi wote?? Nilikua Sijui km wanaoana, nilikua najua wanajikuta tu wanaishi wote

Pia nilikua najiuliza +ve na - ve, -ve ndo mbaya mbona mwenye ukimwi wanasema yuko +ve Wakati ndo nzuri. Imagine hapo niki std5,, nilikua nataka mwenye vvu waseme yuko -ve
 
Hii ya +ve hata mimi nilikuwa nashangaa.. Nilikuwa nataka iwe -ve ndo mwenye ngoma
 
Hahhaaaa uwiiii wana itwa fukufuku nimeumisha sana nyonyo kifuani
 
Huu uzi umenifurahisha sana, Mimi nilikuwa najua mdogo wangu ndo atakuja kuwa mtoto wangu nikiwa mkubwa,

Wakaka kuniita 'mchumbaa' nilikuwa nalia mpaka nasusa kula, cha kusikitisha sasahivi hao wachumba hata siwaoni, Life is not fair..!!
 
Mchumba

We dogo ulikuwa mjeuri sana
 
Huu uzi umenifurahisha sana, Mimi nilikuwa najua mdogo wangu ndo atakuja kuwa mtoto wangu nikiwa mkubwa,

Wakaka kuniita 'mchumbaa' nilikuwa nalia mpaka nasusa kula, cha kusikitisha sasahivi hao wachumba hata siwaoni, Life is not fair..!!
Pimbi kabisa ww kwa hiyo ulijua yeye atabaki katoto milele na milele
 
Nilikuwa sipendwi kulala mchana nilikuwa nalia sanaaa
Hahahahaha.....juzi dogo kaja kusemelea eti “dada” anamtesa sana.nilishtuka mno nikaanza na kufikiria Adhabu/hatua za kuchukua.Ila kwa upole nikamuhoji binti yangu dada anamtesaje.akanijibu eti kila siku anamlazimisha kulala tu mchana,ya kiiiiila siku akitoka shule,anaoga,kula,KULALA!eti “mi SIPENDI kulala jamani!
Yaani nilicheka mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…