Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliotaja wote achepe alolo... sifa nyingi mpira ukiisha huli sifa. Fei Toto hata hapo Yanga kuna nyakati hakuwa na namba mbele ya dogo mmoja mzanzibar hadi kocha Nabi akamrudisha kwenye kiwango.Acha fei toto aende nafikiri sisi WANANCHI ni zaidi ya fei toto kama walipita WAKINA edibily Jonas lunyamila ,akida makunda, sekilojo chambua sembuse feitoto nafikiri ameondoka wakati sahihi acha akatafute riziki kwingine ila WANANCHI sio kwamba tuatashindwa kucheza kisa feitoto
Una akili kama za Fei au Fei ana akili kama zako? Huwezi kuongezwa posho eti kwasababu umeifunga Azam au umefunga BAO zuri la msimu. Mfano, Sakho baada ya kufunga BAO Bora la caf kwenye mashindano angewaambia Simba niongezeni posho, Boko baada ya kufunga hart trick mbili awadai Simba aongezewe posho hapohapo katikati ya mkataba. Hakuna mpira wa hivyo duniani. Unalipwa ili ucheze sio ucheze ili ulipwe.Hao uliotaja wote achepe alolo... sifa nyingi mpira ukiisha huli sifa. Fei Toto hata hapo Yanga kuna nyakati hakuwa na namba mbele ya dogo mmoja mzanzibar hadi kocha Nabi akamrudisha kwenye kiwango.
Yanga mnashida kwenye mikataba hilo kubalini idara ya sheria imewaangusha muda mrefu. Mkataba umeweka wazi kipengele cha kuvunja mkataba kwa pande zote tena hata kama hakuna sababu unategemea nini kama mchezaji anaona anaibeba timu huku maslahi ni duni? Mngewahi kumboreshea ili atulie.
Achezi ushabiki usiosaidia timu, walaumuni viongozi wenu kwa uzembe badala ya kumshambulia tu mchezaji. Hata Mayele hapati picha nzuri za mashabiki wasioweza kumtetea kama akidai maslahi mazuri kutokana na mchango wake. Wachezaji sio mashabiki, hio ni kazi yao na wana maisha nje ya mpira.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hawa wote hawakuomdoka kama alivyoondoka bwege Fei. Ndiyo maana ameshindwa kesi kirahisi. Fei tumemtengezena wenyewe hadi akawa mtamu tofauti na Morrison na niyonzima.. Niyonzima aligoma kuongeza mkataba mpya, Fei alikuwa na mkataba. Kijana angewaelekeza waende Yanga wale wote wanaotaka huduma yake wapewe bei. Au kiungwana kabisa angewasilisha hoja yake moja kwa moja kwa HersiUmeandika kama kilaza. Ili wazanzibar wamchukie fei toto? Mimi yanga mwenzio ila nimekuona kilaza. Kwani Niyonzima alipofanya haya kuhamia Simba tukachoma moto na jersey yake...si baadaye alipoachwa simba tulimchukua tena?
Morrison alitucheka na kutunyanyasa tukaenda Caf, Cas , Fifa n.k alipotemwa Simba si tulimchukua tena?
Sisi Yanga ni Wapumbavu. Na Fei akishindwa huko atarudi tutamshangilia....sababu asilimia kubwa ya mashabiki wetu hawana akili na viongozi wanatuendesha kwa propaganda
Bernard Morrison aliondokaje? Au ulikuwa mdogo kipindi hicho?Hawa wote hawakuomdoka kama alivyoondoka bwege Fei. Ndiyo maana ameshindwa kesi kirahisi. Fei tumemtengezena wenyewe hadi akawa mtamu tofauti na Morrison na niyonzima.. Niyonzima aligoma kuongeza mkataba mpya, Fei alikuwa na mkataba. Kijana angewaelekeza waende Yanga wale wote wanaotaka huduma yake wapewe bei. Au kiungwana kabisa angewasilisha hoja yake moja kwa moja kwa Hersi
Daah.... Basi ulikuwa mdogo sana au hukuwa na akili kwenye sakata la Morrison.Kwani Morrison na yeye alirudisha pesa na kuvunja mkataba? Umerogwa?
Kumbe kuna wakati unatumia akili sahihi.Kipindi anasaini mkataba mwaka hakuwa na power ya kuweza kusililizwa kwasababu hakuwa na plan B itayomsaidia endapo wasopofika makubaliano
Vipi kama alijaribu kugusia swala la Yanga wamuongezee mshahara ila walimu ignore kwasababu walijua hana jeuri ya kwenda sehemu yeyote kwakua hakuna timu iliyomuhitaji kwa wakati huo?
Lakini kitu kingine wisely ni kwanini swala la kuongeza mshahara mpaka liombwe na mchezaji?
Kwani uongozi wenyewe hauoni mchango au thamani ya mchezaji kustahili malipo zaidi ya hayo mpaka mchezaji mwenyewe aombe?
Mpira wetu ndio kwanza umeanza kupiga chafa, vijana wetu ni lazima washauriwe vizuri kuhusu mikataba na namna ya kudai maslahi yao. Tusiwapotoshe kama wanaweza kudai nyongeza muda na siku yoyote wakiifunga Simba au Yanga mabao matatu kwenye mechi. Waelemishwe nini maana ya mkataba na waelewe kuwa kila mchezaji anao mkataba wake wenye masharti na malipo tofauti. Wajifunze kuwa na mameneja (chawa) wanaosimamia uchezaji wao na maslahi.Kumbe kuna wakati unatumia akili sahihi.