Mr Aboo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 248
- 395
Mkuu hawa mashabiki wengi wa simba wameamua kulivalia njuga hili swala, wamesahau mwenendo mzima wa timu yao sasa kila dosari kwa Yanga kwao ni Furaha au ( Kombe) . Nje & Ndani wanajua hata Fei akisepa bado Yanga ni tishio kwao.Kukaa chini wakati mko ndani ya mkataba wala sio issue,djuma,bangala na mayele wameongeza mkataba wakiwa ndani ya mkataba,hata fei mwenyewe aliongeza akiwa ndani ya mkataba so aikua dhambi kukaa tena na Yanga akiwa ndani ya mkataba,hata leo hii diarra ameongeza mkataba akiwa bado mkataba wa awali haujaisha,fei afuate taratibu za kuvunja mkataba Yanga wala awatomng'ang'ania lkn sio huu uhuni anaoutumia,mikataba kama ingekua inavunjwa hivyo sipati picha vurugu ambazo zingekuwepo
Fei hajacheza game ngapi mpaka sasa? Yanga imekosa matokeo jibu ni hakuna...! huko kimataifa Fei alionesha kitu kipi? hakuna Fei ni mchezaji kipenzi wa mashabiki na Viongozi tu ila uwanjani ni wakawaida tu...