Vilabu vyetu magumashi tena sana ila muda mwingine vinakosewa ila kutokana na historia yao jamii inakua haipo upande wao,feisal anademand maslahi zaidi huku ikiwa mkataba wake wa awali haujaisha,hilo si tatizo,shida inakuja feisal akijua bado ana mkataba lkn yeye anaondoka eneo la kazi imagine klabu ingemfukuza fei kila mdau wa soka angekua upande wa fei na sasa hivi ni kama fei ndio anaifukuza klabu lkn bado jamii iko upande wa fei,sometimes tuangalie na upande wa pili wa shilingi pia,njia za kuboresha mkataba au kuvunja mkataba zote zipo kwenye ule mkataba,fei anatakiwa afuate njia sahihi za kuvunja mkataba sidhani kama Yanga watamkatalia lkn si kama anavyofanya sasa hivi