changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Feisal mimi naona hana kosa kwavile yeye kaona fursa mbele yake na mkataba umemruhusu kufanya hivyo. Badala ya kuangaika na Feisal, nguvu zingetumika kufanya replacement ya zaidi ya Feisal. Wangeongea na uongozi wa SBS kwaajili ya kumsajili yule Gomez. Ni zaidi ya Feisal. Halafu la pili wajifunze kuwa na mikataba yenye masilahi kwa timu sio upumbavu walioufanyaAsante kwa kunisahihisha.Back to my point,kwa muktadha huo sioni kwanini Fei ashutumiwe kwa kuondoka katikati ya kipindi cha mkataba wake.Umetoa angalizo zuri sana ambapo wengi wa Mashabiki wa Yanga hawataki kuliona la udhaifu wa Viongozi wa Yanga walioundaa huo mkataba.