😂😂😂😂😂Huu ni uwongo wa hali ya juu sana. Mbona 'Lucas mwashambwa' anakojoa kitandani Kila kukicha na hakuna anachokifanya?
Kukataliwa ni mtihani ambao mtu hupewa na MUNGU..Kukataliwa (Rejection) dalili unaikubali ?
Mfano nabii lazima apitie kipindi cha kukataliwa.
Ndio maana wanawapenda sana maana u are weakSamia akiona hii akili yako anafurahi sana 😁
ni kweli, juhudi na nidhamu.KUKOJOA KITANDANI NI ISSUE YA KIAKILI , KIAFYA ZAIDI NA SIO KIROHO
KUHUSU MESSI AU RONADO
These guys wana nidhamu kubwa as well wapo talented.
Ukiwa na nidhamu na kipaji jambo lako litakuwa maradufu and nothing Else.
NIAMBIE MTU AMBAYE HUFANYA MAMBO MARVELOUS ILA ANA PLAY BELOW THE AVERAGE ?
YUPO ?
So I could expect useme huyu jamaa hana juhudu Ila kainuliwa kiroho na amekuwa MTU mkubwa katika Field
Messi na ronado, wakati wachezaji wenzao wapo likizo wao huwa wanaendelea kufanya mazoezi
They train off seasons.
So don't feed ur mind mambo ya kusadikika
It is true binadamu ni spiritual being , Ila hauwezi kuwa mkubwa kwa Field bila kuwa na juhudi kubwa na nidhamu kubwa.
ni kweli, juhudi na nidhamu.
but mada yangu ni mambo ambayo muhusika mwenye kipaji hawezi kujizui kufanya. yani yanakuja automatic mapema
Mwenye kipaji cha kuimba, dalili huonekana mapema kabla hata hajajijua kama yeye ni Muimbaji mkubwa.
Mada yangu sio Namna ya kuwa wa Kiroho.Kipaji tafsiri yake ni strength zone eneo ambalo unafanya vizuri.
Mfano Mimi wakati nipo nasoma nilikuwa nina ile kitu inaitwa .
Photographic memory
Yaaani once I glanced at something I could recall it on test or exam very easy .
As well i could do math kichwani n.k
So Endapo ningesema i have to take this shit far , ningekuwa Academicians or wherever.
So binadamu huwa ana Eneo ambalo ana strength nalo kwahiyo akiweka nidhamu , juhudi mwisho ndo huitwa kipaji na kuwa mkubwa Sana .
Hii haipo kiroho.